Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

Mali ya Waislamu ?

Opening Can of Worms; Kama iliuzwa kosa ni la mnunuaji au muuzaji ?; Na kama ilitengwa kama sehemu ya Taasisi fulani (mnunuzi alinunua ili afanye kitu gani); Kazi iliyokusudiwa au ndio yale ya Nyumba za Ibada kuwa jirani na Dangulo (Dangulo pia linatoa Huduma)

Naweza kwenda a Step Forward na kuuliza Mali ya Mtanzania vipi; Pale Dowans walipotupiga tukasema wasilipwe sasa hivi tunasema walipwe si ndio yale yale; wauzaji / walioingia mikataba wamewajibishwa ?
 
John...
Hapo Iringa ilikuwa kukamilisha ratiba.
Mambo makubwa na msumari wa mwisho ulipigiliwa Tanga kabla ya kufika Iringa.

Wakati wa vurugu hizi za EAMWS zinaendelea Kamati Kuu ya TANU ilikuwa inafanya kikao chake Tanga.

Saleh Masasi na wenzake waliokuwa wanaipinga EAMWS [1] walipanda ndege hadi Tanga kwenda kushauriana na Kamati Kuu ya TANU jinsi ya kumaliza ''mgogoro'' wa EAMWS.

Ujumbe huu ulikwenda Tanga kuonana na Rais Julius Nyerere ukiwa na orodha ya Waislam ambao walikuwa wanataka serikali wakamatwe na kutiwa kizuizini ili msuguano upate kumalizika kwa haraka kuwezesha serikali kuunda BAKWATA.

Hivi ndivyo walivyofika Iringa baada ya masheikh waliodhaniwa kuwa wanapinga kuvunjwa kwa EAMWS kukamatwa.

Katika orodha ile ya kukamatwa kulikuwa na jina la Mufti Sheikh Hassan bin Ameir.
Mkuu Mohamed Saidi tusaidie hili, Shehe mkuu anamsumbua Rais kuhusu mali zilizouzwa na viongozi wa Bakwata waiopita je! ni halali Rais awadhulumu wenye haki awape Waislamu ikiwa mali hizo ziliuzwa na wao wenyewe?.
 
Frank...
Hili swali wangeulizwa wenyewe BAKWATA.
 
Modest...
Soma kitabu, "Development and Religion in Tanzania," (1981) cha Jan P van Bergen kinaeleza mikutano ya Nyerere na viongozi wa Kanisa Katoliki Ikulu.

Mimi hujizuia sana kuandika haya lau kama nayajua mengi.

Lakini kwa kuwa hukuwa unayajua hayo nimekupa rejea hiyo ili uijue nchi yetu na matatizo yake.

Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Cathedral Bookshop lakini kwa unyeti wa yaliyokuwa ndani ya kitabu hicho kimya kimya kiliondolewa sokoni kisiuzwe.

Hiki kitabu kilikuwa maarufu sana kwa Waislam katika miaka ya 1980.

Taarifa hizo zilizokuwa katika kitabu hicho ziliandikwa katika kitabu cha Prof. Njozi, "Mwembechai Killings..." (2002)na serikali ya Rais Mkapa ikapiga marufuku kitabu hicho.

Kuitaka serikali ijitenge na dini kwa maana yake kwa Tanzania ni kulitaka Kanisa likae nje ya serikali.

Huu ni muhali mkubwa kwani Kanisa limehodhi uendeshaji wa nchi kwa asilimia 80:20.

Hii ni kama vile Waislam hawapo.

Hili la waumini wa dini zote halipo Tanzania.

Dini kubwa zenye maslahi na serikali ni Uislam na Ukristo.

Waislam maslahi yao katika serikali ni historia yao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Wakristo maslahi yao ni kuwa ndiyo walioshika madaraka ya kuendesha nchi toka uhuru upatikane mwaka wa 1961 hadi hivi sasa.

Vipi leo utawataka waachie madaraka haya?

Busara ni walioshika madaraka yote ya serikali wawe tayari kuona na wengine wanapata fursa walizopata wao za elimu nk na wanaingi serikalini bila wao kuwa pingamizi.

Bwana Mohamed kwa aina hii ya uandishi wako nachelea kusema huko mbeleni huenda tutakosa waandishi wa namna yako, sijui kwanini hadi baadhi hukuhusisha na Kitengo ' ni kama unachochea Udini lakini La hasha unaeleza ukweli mchungu kwa vielelezo na nyaraka na kwa mifano ili kuweka wazi mambo yaeleweke, kwakweli kama Taifa Huru tunapaswa kujivunia
 
Shukuru...
Allah ametufunza Waislam yaliyo mema na vipi tuishi na wasiokuwa Waislam.

Haturuhusiwi kudhulumu na vilevile Allah katufunza tusikubali kudhulumiwa.

Mimi siwezi kuchochea farka katika jamii kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha mafunzo ya Uislam.

Nyerere kafika Dar-es-Salaam hana ndugu kapokelewa na wazee wetu lau hakuwa Muislam.

Rafiki zake wakubwa na vijana wenzake walikuwa Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz na wazee waliokuwa karibu sana na yeye ni Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate na Shariff Abdallah Omari Attas na mkewe Bi. Chiku bint Said Kisusa kwa kuwataja wachache.

Wamekuwa na yeye bega kwa bega na kote huko majimboni alikokwenda alipokelewa na Waislam.

Hii ndiyo historia yetu.
 
Shukuru...
Serikali ya Tanzania mwaka wa 1993 ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding makubaliano ambayo yalikuwa serikali kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) and Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali.

Mkataba huu ulitayarishwa kwa siri na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa.

Mkataba huu ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978.
Yaleyale, changanya uongo na ukweli. Hili la MOU kati ya Serikali na dini nilishawahi kukujibu. Wanajamvi someni hapa chini;

Haya sasa ndiyo huwa nakwambia pamoja na uandishi wako mzuri lakini mara nyingi una hila ndani yake. Nakumbuka kulikuwa na suala la kuwa Kighoma Malima ndiye aliyeanzisha mfumo wa namba kwenye mitihani, Kwamba mzungu Sivalon aliandika kwenye Kitabu chake kuwa Baraza la Mawaziri lina Wakatoliki wengi kuliko Dini nyingine (uongo uliokanushwa tena kwa ushahidi wa maandishi). Ni bahati mbaya kuwa VIjana wenzetu siku hizi hawajisomei kwa hiyo ni rahisi kuwajaza uongo na kweli.

Lakini hilo la MOU na taasisi za Dini limeelezewa sana na lina chimbuko na haikuwa jambo la siri. Kwa mfano Rais Kikwete akielezea chimbuko la MOU alipata kusema haya alipokuwa Dodoma "tulitoa fursa hii kwa watu wa dini zote, lakini waislamu hamkutaka kuitumia fursa hii, badala yake mnazuia wenzenu kuitumia fursa hii..."

Wanajamvi mnaweza kusoma hapa chini maelezo ya Dr.Slaa ambaye alikuwa Katibu mkuu wa CCT akizungumzia chimbuko la MOU;

KWA mara ya kwanza, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameweka bayana chimbuko la mkataba wa makubaliano kati ya serikali na makanisa, huku akiwasihi Watanzania kujiepusha na malumbano yenye hisia za udini.

Dk. Slaa alitoa tahadhari hiyo jana katika ufafanuzi wake aliouandika kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forum, kuhusu mkataba huo (Memorandum of Understanding – MOU) kati ya Baraza la Kikristo Tanzania, Baraza la Maaskofu Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alisema kuwa amelazima kutoa ufafanuzi baada ya kuona mkataba huo umewekwa kwenye mtandao wa kijamii, huku watu wengi wakiwa wanauzungumzia kwa kupotosha ukweli wa jambo hilo, na kulihusisha na masuala ya udini.

“Kama mnavyoona, mimi nilikuwa nafahamu historia yote, nafahamu MOU, lakini sikuwa nayo. Mtu huwezi kujua kila kitu, na au kuwa na kila kitu, ‘we need to complement each other’.

“Ninarudia kuwaomba wenzangu, tumetumia muda mrefu sana kujadiliana kwa hisia ya aina mbalimbali. Watanzania hatukuzoea huko nyuma kuulizana dini zetu, wala kabila, wala ukanda. Haya mambo tukiyaendekeza taifa letu litakuwa hatarini,” alisema.

Alisema Watanzania wanapaswa kutambua kuwa, kubomoa ni kazi nyepesi, lakini kujenga tena inachukua muda mrefu, na ni kazi ngumu, na wakati mwingine hata ukifanikiwa huwezi kujenga kama ilivyokuwa.
Akifafanua historia ya jinsi na kwanini MOU hiyo ilizaliwa, Dk. Slaa alisema kuwa huko nyuma serikali ilitaifisha shule nyingi za madhehebu ya dini.

Kwamba utaifishaji huo uliendana pia na ardhi, hasa ikizingatiwa kuwa wakati huo shule zilijengwa kwenye maeneo ya madhehebu ya dini na papo hapo kukiwa na kanisa, nyumba za mapadre na vitu vingine.
Alisema kuwa kwenye miaka ya 1980, madhehebu yakataka warudishiwe ardhi yao, hasa ambayo ina majengo mengine yasiyohusiana na shule hizo.

Dk. Slaa alifafanua kuwa, mchakato wa mjadala ulishika kasi mwaka 1986 Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), lilipopitisha azimio rasmi na kumtaka Katibu Mkuu, awasiliane na serikali kuanzisha mchakato wa kufanya upembuzi na kutenga ardhi ya shule rasmi, kutoka kwenye ardhi inayotumika kwa huduma nyinginezo za madhehebu ya dini.

“Wakati huo mimi (Dk. Slaa), ndiye nilikuwa Katibu Mkuu wa TEC baada ya kupokea rasmi kazi hiyo Desemba1985. Wakati huo madhehebu yaliishakudai yarudishiwe shule zao kwa kuwa zimegeuka kuwa aibu kwa kukosa ukarabati, na ziko kwenye hali mbaya sana,” alisema.

Aliongeza kuwa serikali ilikuwa imekataa ombi hilo kwa lengo la kuwa, shule hizo zinawahudumia Watanzania wote bila ubaguzi, jambo ambalo ndilo lilikuwa lengo kuu la utaifishaji, na sababu ya utaifishaji ilikuwa bado inaendelelea.

Dk. Slaa aliongeza kuwa, mawasiliano yalipoanza na serikali, wakati huo kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, serikali iliomba TEC na madhehebu ya dini kwa ujumla, kama yanaweza kusaidia ukarabati wa shule hizo kwa kuwa ziko kwenye hali mbaya na hali ya uchumi wa nchi haikuwa nzuri.

“Wakati mchakato huo kwa upande wa elimu umeanza, kulikuwa pia na mgogoro kati ya serikali na TEC baada ya serikali kuichukua Hospitali ya Bugando kwa utaratibu huo huo wa kuitaifisha,” alibainisha.
Kwamba hospitali hiyo ilikuwa kwenye awamu ya pili ya ujenzi kwa msaada mkubwa wa Shirika la la Maendeleo la Baraza la Maaskofu Katoliki la Ujerumani (Misereor).

Alisema kuwa Katibu Mkuu wa TEC alipowasiliana na wahisani, walikataa katakata kujihusisha tena na ujenzi au ukarabati wa shule au hospitali, vituo vya afya na zahanati, kwa kuhofia kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikitaifisha huduma hizo bila majadiliano ya aina yoyote.

Wahisani hao walisema hawawezi kuwekeza fedha za walipakodi wao (Ujerumani), lakini walikuwa tayari kuendelea na huduma mbalimbali za kusaidia dawa na elimu kwa shule ambazo bado ziko chini ya madhehebu ya dini kwa kuwa hawawezi kuwaadhibu wananchi na watoto.

Kwa mujibu wa Dk. Slaa, kwa kuwa shughuli zote za Bugando zilikuwa zinaelekea kusimama, na kulikuwa na mgomo kila siku kwa madaktari, manesi na watumishi, serikali ikaomba wajadiliane upya juu ya mambo makubwa mawili.

Mambo hayo ni utoaji huduma katika sekta za huduma za jamii, na kuwa na chombo cha mawasiliano na majadiliano kati ya Ikulu na madhehebu ya dini.
Lakini kwa kuwa madhehebu ni mengi, wakaomba chombo hicho kiundwe na viongozi wakuu wa madhehebu yaliyokuwa yanajulikana kwa mujibu wa sheria.

Hivyo, Waislamu wakawakilishwa na Bakwata, TEC na CCT (kwa madhehebu zaidi ya 60 yaliyoko chini ya Christian Council of Tanzania), na baada ya mashauriano waliunda chombo hicho.
Alifafanua kuwa kutokana na hali mbaya ya shule, serikali iliomba madhehebu ya dini kusaidia ukarabati kwa zile zilizoonekana zitafungwa kutokana na hali mbaya.

“Nasi kwa upande wetu, kwa nia njema ya kuisaidia serikali, lakini pia kuwahudumia Watanzania, tuliwasiliana na wahisani ambao walikazia msimamo wao kuwa hawako tayari kuingia kwenye shughuli za ujenzi wala ukarabati kwa kukosa msimamo wa wazi na wa kisheria wa Serikali ya Tanzania kuhusiana na utaifishaji wa huduma hizo,” alisema.

Katibu huyo aliongeza kuwa, serikali ilipojulishwa ilichukua hatua ya kuanzisha mchakato mzima wa kupata suluhu ya jambo hilo. Ndipo akapewa jukumu hilo, Anne Makinda, wakati huo akiwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu.

“Hatimaye, serikali ilikubali kuwa haitataifisha tena na kwa kuthibitisha hivyo, ikawa tayari kuwekeana mkataba na madhehebu ya dini. Ndipo tukaanzisha mchakato wa majadiliano na wahisani, nao katika umoja wao kati ya dhehebu la kikatoliki Ujerumani na Kilutheri pia la Ujerumani, tukaanzisha mchakato wa namna bora ya kutoa huduma za jamii,” alisema.

Hatimaye, makubaliano yalifikiwa na ndipo kikazaliwa chombo kipya, Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), chenye sekretarieti yake, hivyo huduma ya Christian Medical Board ya TEC na CCT, ikavunjwa na kuwekwa chini ya CSSC.

Dk. Slaa aliongeza kuwa, kwa upande wa serikali aliweka saini Edward Lowassa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu wakati huo. Kwamba TEC na CCT nazo zikawekeana na wahisani mikataba yao ya ndani ili kupata misaada ya ujenzi, ukarabati na uendelezaji wa huduma zote za jamii.
 
Dingi...
Tatizo la kukamatwa Waislam ni tatizo kubwa sana.
Waislam wanakamatwa lakini kesi ikifika mahakamani hakuna ushahidi.
Lakini walikamatwa kipindi ambacho Rais ni mwislamu,Jaji mkuu-Mwislamu,Makamu wa Rais-mwislamu,mkuu wa magereza-mwislamu
Ndugu mpaka hapo hauoni kuwa kunahitajika mkae chini mfikiri vizuri kuliko kusingizia kivuri cha dini !
Hubirini upendo,watu wapendane sisi sote ni wamoja-Watanzania. Nakumbuka kipindi cha vuguvugu la uamsho tulishuhudia makanisa yanachomwa moto-Zanzibar,mapadri waliuawa.
Leo hii tunaona mihadhara kibao mnawasema wakristu,kutwa nzima kuuchambua ukristu. Hivi ikitokea wakristu nao wakauchambua uislamu hivyo mtavumilia kweli ?
 
Ndugu nakuahidi,akikuelewa nidai soda aisee
 
Nadhani wao wameona kwasababu wakristo wana walezi wao mathalan Vatican, USA na mashirika yake kama FBI na CIA Ambavyo ni vyombo mahari vya kiuchambuzi(na hasa kuuchambua uislamu kwani kwao ni katika threats), Israel 🇮🇱 kuwataja wachache, walezi hawa kazi kubwa na iliyotukuka waifanyayo ya kuwachambua na kuwaminya waislam itakuwa ni kupoteza nguvu kwa mkristo msomi eti nae kukaa kitako kuuchambua uislamu otherwise ataingia mitandaoni kupakua taarifa zilizoandaliwa rasmi (kuupiga vita uislamu) kisha kurejea kama reference, marachache utakuta mkristo akili kuuchambua Uislamu kama usemavyo vinginevyo utaona kama mleta mada amechomeka thread hii kama kuwakebehi waislam kisha yeye kaketi kando kutazama au mfano wa platozoom kujibu hoja
 
Shukuru...
Allah ametufunza Waislam yaliyo mema na vipi tuishi na wasiokuwa Waislam.

Haturuhusiwi kudhulumu na vilevile Allah katufunza tusikubali kudhulumiwa.

Mimi siwezi kuchochea farka katika jamii kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha mafunzo ya Uislam.

Nyerere kafika Dar-es-Salaam hana ndugu kapokelewa na wazee wetu lau hakuwa Muislam.

Rafiki zake wakubwa na vijana wenzake walikuwa Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz na wazee waliokuwa karibu sana na yeye ni Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate na Shariff Abdallah Omari Attas na mkewe Bi. Chiku bint Said Kisusa kwa kuwataja wachache.

Wamekuwa na yeye bega kwa bega na kote huko majimboni alikokwenda alipokelewa na Waislam.

Hii ndiyo historia yetu.
Lakini historia hii Inakuwa mwiba kwa wengine huoni kwamba utawakwaza?
 
Yaleyale, changanya uongo na ukweli. Hili la MOU kati ya Serikali na dini nilishawahi kukujibu. Wanajamvi someni hapa chini;

Haya sasa ndiyo huwa nakwambia pamoja na uandishi wako mzuri lakini mara nyingi una hila ndani yake. Nakumbuka kulikuwa na suala la kuwa Kighoma Malima ndiye aliyeanzisha mfumo wa namba kwenye mitihani, Kwamba mzungu Sivalon aliandika kwenye Kitabu chake kuwa Baraza la Mawaziri lina Wakatoliki wengi kuliko Dini nyingine (uongo uliokanushwa tena kwa ushahidi wa maandishi). Ni bahati mbaya kuwa VIjana wenzetu siku hizi hawajisomei kwa hiyo ni rahisi kuwajaza uongo na kweli.

Lakini hilo la MOU na taasisi za Dini limeelezewa sana na lina chimbuko na haikuwa jambo la siri. Kwa mfano Rais Kikwete akielezea chimbuko la MOU alipata kusema haya alipokuwa Dodoma "tulitoa fursa hii kwa watu wa dini zote, lakini waislamu hamkutaka kuitumia fursa hii, badala yake mnazuia wenzenu kuitumia fursa hii..."

Wanajamvi mnaweza kusoma hapa chini maelezo ya Dr.Slaa ambaye alikuwa Katibu mkuu wa CCT akizungumzia chimbuko la MOU;

KWA mara ya kwanza, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameweka bayana chimbuko la mkataba wa makubaliano kati ya serikali na makanisa, huku akiwasihi Watanzania kujiepusha na malumbano yenye hisia za udini.

Dk. Slaa alitoa tahadhari hiyo jana katika ufafanuzi wake aliouandika kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forum, kuhusu mkataba huo (Memorandum of Understanding – MOU) kati ya Baraza la Kikristo Tanzania, Baraza la Maaskofu Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alisema kuwa amelazima kutoa ufafanuzi baada ya kuona mkataba huo umewekwa kwenye mtandao wa kijamii, huku watu wengi wakiwa wanauzungumzia kwa kupotosha ukweli wa jambo hilo, na kulihusisha na masuala ya udini.

“Kama mnavyoona, mimi nilikuwa nafahamu historia yote, nafahamu MOU, lakini sikuwa nayo. Mtu huwezi kujua kila kitu, na au kuwa na kila kitu, ‘we need to complement each other’.

“Ninarudia kuwaomba wenzangu, tumetumia muda mrefu sana kujadiliana kwa hisia ya aina mbalimbali. Watanzania hatukuzoea huko nyuma kuulizana dini zetu, wala kabila, wala ukanda. Haya mambo tukiyaendekeza taifa letu litakuwa hatarini,” alisema.

Alisema Watanzania wanapaswa kutambua kuwa, kubomoa ni kazi nyepesi, lakini kujenga tena inachukua muda mrefu, na ni kazi ngumu, na wakati mwingine hata ukifanikiwa huwezi kujenga kama ilivyokuwa.
Akifafanua historia ya jinsi na kwanini MOU hiyo ilizaliwa, Dk. Slaa alisema kuwa huko nyuma serikali ilitaifisha shule nyingi za madhehebu ya dini.

Kwamba utaifishaji huo uliendana pia na ardhi, hasa ikizingatiwa kuwa wakati huo shule zilijengwa kwenye maeneo ya madhehebu ya dini na papo hapo kukiwa na kanisa, nyumba za mapadre na vitu vingine.
Alisema kuwa kwenye miaka ya 1980, madhehebu yakataka warudishiwe ardhi yao, hasa ambayo ina majengo mengine yasiyohusiana na shule hizo.

Dk. Slaa alifafanua kuwa, mchakato wa mjadala ulishika kasi mwaka 1986 Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), lilipopitisha azimio rasmi na kumtaka Katibu Mkuu, awasiliane na serikali kuanzisha mchakato wa kufanya upembuzi na kutenga ardhi ya shule rasmi, kutoka kwenye ardhi inayotumika kwa huduma nyinginezo za madhehebu ya dini.

“Wakati huo mimi (Dk. Slaa), ndiye nilikuwa Katibu Mkuu wa TEC baada ya kupokea rasmi kazi hiyo Desemba1985. Wakati huo madhehebu yaliishakudai yarudishiwe shule zao kwa kuwa zimegeuka kuwa aibu kwa kukosa ukarabati, na ziko kwenye hali mbaya sana,” alisema.

Aliongeza kuwa serikali ilikuwa imekataa ombi hilo kwa lengo la kuwa, shule hizo zinawahudumia Watanzania wote bila ubaguzi, jambo ambalo ndilo lilikuwa lengo kuu la utaifishaji, na sababu ya utaifishaji ilikuwa bado inaendelelea.

Dk. Slaa aliongeza kuwa, mawasiliano yalipoanza na serikali, wakati huo kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, serikali iliomba TEC na madhehebu ya dini kwa ujumla, kama yanaweza kusaidia ukarabati wa shule hizo kwa kuwa ziko kwenye hali mbaya na hali ya uchumi wa nchi haikuwa nzuri.

“Wakati mchakato huo kwa upande wa elimu umeanza, kulikuwa pia na mgogoro kati ya serikali na TEC baada ya serikali kuichukua Hospitali ya Bugando kwa utaratibu huo huo wa kuitaifisha,” alibainisha.
Kwamba hospitali hiyo ilikuwa kwenye awamu ya pili ya ujenzi kwa msaada mkubwa wa Shirika la la Maendeleo la Baraza la Maaskofu Katoliki la Ujerumani (Misereor).

Alisema kuwa Katibu Mkuu wa TEC alipowasiliana na wahisani, walikataa katakata kujihusisha tena na ujenzi au ukarabati wa shule au hospitali, vituo vya afya na zahanati, kwa kuhofia kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikitaifisha huduma hizo bila majadiliano ya aina yoyote.

Wahisani hao walisema hawawezi kuwekeza fedha za walipakodi wao (Ujerumani), lakini walikuwa tayari kuendelea na huduma mbalimbali za kusaidia dawa na elimu kwa shule ambazo bado ziko chini ya madhehebu ya dini kwa kuwa hawawezi kuwaadhibu wananchi na watoto.

Kwa mujibu wa Dk. Slaa, kwa kuwa shughuli zote za Bugando zilikuwa zinaelekea kusimama, na kulikuwa na mgomo kila siku kwa madaktari, manesi na watumishi, serikali ikaomba wajadiliane upya juu ya mambo makubwa mawili.

Mambo hayo ni utoaji huduma katika sekta za huduma za jamii, na kuwa na chombo cha mawasiliano na majadiliano kati ya Ikulu na madhehebu ya dini.
Lakini kwa kuwa madhehebu ni mengi, wakaomba chombo hicho kiundwe na viongozi wakuu wa madhehebu yaliyokuwa yanajulikana kwa mujibu wa sheria.

Hivyo, Waislamu wakawakilishwa na Bakwata, TEC na CCT (kwa madhehebu zaidi ya 60 yaliyoko chini ya Christian Council of Tanzania), na baada ya mashauriano waliunda chombo hicho.
Alifafanua kuwa kutokana na hali mbaya ya shule, serikali iliomba madhehebu ya dini kusaidia ukarabati kwa zile zilizoonekana zitafungwa kutokana na hali mbaya.

“Nasi kwa upande wetu, kwa nia njema ya kuisaidia serikali, lakini pia kuwahudumia Watanzania, tuliwasiliana na wahisani ambao walikazia msimamo wao kuwa hawako tayari kuingia kwenye shughuli za ujenzi wala ukarabati kwa kukosa msimamo wa wazi na wa kisheria wa Serikali ya Tanzania kuhusiana na utaifishaji wa huduma hizo,” alisema.

Katibu huyo aliongeza kuwa, serikali ilipojulishwa ilichukua hatua ya kuanzisha mchakato mzima wa kupata suluhu ya jambo hilo. Ndipo akapewa jukumu hilo, Anne Makinda, wakati huo akiwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu.

“Hatimaye, serikali ilikubali kuwa haitataifisha tena na kwa kuthibitisha hivyo, ikawa tayari kuwekeana mkataba na madhehebu ya dini. Ndipo tukaanzisha mchakato wa majadiliano na wahisani, nao katika umoja wao kati ya dhehebu la kikatoliki Ujerumani na Kilutheri pia la Ujerumani, tukaanzisha mchakato wa namna bora ya kutoa huduma za jamii,” alisema.

Hatimaye, makubaliano yalifikiwa na ndipo kikazaliwa chombo kipya, Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), chenye sekretarieti yake, hivyo huduma ya Christian Medical Board ya TEC na CCT, ikavunjwa na kuwekwa chini ya CSSC.

Dk. Slaa aliongeza kuwa, kwa upande wa serikali aliweka saini Edward Lowassa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu wakati huo. Kwamba TEC na CCT nazo zikawekeana na wahisani mikataba yao ya ndani ili kupata misaada ya ujenzi, ukarabati na uendelezaji wa huduma zote za jamii.
Plato...
Mimi sina tatizo na nini umesema kuhusu yale niliyosema mimi.
Hayo ndiyo uyajuayo wewe na una haki na fikra zako.

Nami nina yangu niyajuayo nina haki na haya yangu.
Mimi huandika na kuwaachia wasomaji.

Kikwete na yeye ana haki na kauli yake ikiwa kweli alisema maneno hayo.

Wala sitodai ushahidi.
Ya nini yote hayo?
 
Nadhani wao wameona kwasababu wakristo wana walezi wao mathalan Vatican, USA na mashirika yake kama FBI na CIA Ambavyo ni vyombo mahari vya kiuchambuzi(na hasa kuuchambua uislamu kwani kwao ni katika threats), Israel 🇮🇱 kuwataja wachache, walezi hawa kazi kubwa na iliyotukuka waifanyayo ya kuwachambua na kuwaminya waislam itakuwa ni kupoteza nguvu kwa mkristo msomi eti nae kukaa kitako kuuchambua uislamu otherwise ataingia mitandaoni kupakua taarifa zilizoandaliwa rasmi (kuupiga vita uislamu) kisha kurejea kama reference, marachache utakuta mkristo akili kuuchambua Uislamu kama usemavyo vinginevyo utaona kama mleta mada amechomeka thread hii kama kuwakebehi waislam kisha yeye kaketi kando kutazama au mfano wa platozoom kujibu hoja
Shukuru...
Rais Muislam moja ya shughuli zake ni kuingilia polisi wasikamate Waislam?

Au watendaji Waislam serikalini kazi zao ni kuwahangaikia Waislam kuona wanapata fursa sawa na wengine?
 
Tobaaa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwali...
Ikoje akili ya mtu anaekwenda kuwaona watu wamuuzie msikiti?
Ikoje akili ya mtu anaambiwa kuwa atauziwa msikiti?

Ikoje akili ya yule anae amini hekaya kama hii?
Cock and bull story.

Umepata kumsikia mtu anaitwa Victor Lustig?
 
Back
Top Bottom