GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba.
Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka hizo Pesa maeneo Muhimu yenye Uhitaji ili Vizazi na Vizazi vije Kukukumbuka..
Wewe (Rais Samia) umejikita katika Kutoa Ahadi za Kununua Magoli je, ulishajiridhisha na Kikosi kilichoitwa? Kwa Kikosi hiki cha sasa cha Taifa Stars Kufanikiwa ni Ndoto za Mchana.
Asanteni mno Waganda kwa Kutufunga Watanzania tena katika Ardhi yetu huku Jukwaani wakiwepo Waziri Mkuu Majaliwa, Waziri wa Sekta husika Pindi Chana na Waandamizi Wengine.