King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Yeye muache tu asifuate maoni ya wananchi kisha apandwe na jeuri awe kama MEKO ndio atakuja kujua maneno ya wananchi huumba.