Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Jana alipokuwa anatoa salamu zake na kutujulisha juu ya wateule wake wapya rais wa JMT ulimi ulimteleza na kutamka bunge la katiba. Najua bado anakumbuka umuhimu wake. Maana hata yeye kuwa makamu wa rais ilikuwa ni pendekezo la mmoja wa wabunge wa bunge la katiba.

Sasa ni wazi kuwa rais wa sasa anajua umuhimu wa kubadili katiba yetu ili tuwe taifa ambalo demokrasia ipo juu na hakuna kikundi cha watu ambacho kitakuwa juu ya sheria.

Mfano, ili kuondoa uonevu mkubwa uliopo sasa, ni vyema tukawa na katiba ambayo itaruhusu wagombea binafsi. Maana kuna raia wanaouwezo wa kuongoza lakini hawataki kuwa na mafungamano na vyama vya kisiasa.

Pia ili kulinda haki za raia wa Tanzania ni vyema kuwa na katiba ambayo itaruhusu raia wa kawaida kufungua kesi mahakama kuu moja kwa moja bila kupitia kwa Dpp. Hii italeta usawa na haki katika kuhakikisha kesi hazipindishwi.

Sasa basi kwa sababu mnaapishana na kuahidi kukusanya kodi na kuendelea kujenga nchi,kumbukeni pia katiba mpya ni muhimu.
 
Kwani wanaotaka katiba mpya ni Wapinzani pekee?
Jibu hapo kisha tuendelee
Hana cha kukujibu maana huyu ndiyo bendera fuata upepo ikipandishwa petrol au diesel anafurahia kisa imepandishwa na serikali ya ccm.
 
Jana alipokuwa anatoa salamu zake na kutujulisha juu ya wateule wake wapya rais wa JMT ulimi ulimteleza na kutamka bunge la katiba. Najua bado anakumbuka umuhimu wake. Maana hata yeye kuwa makamu wa rais ilikuwa ni pendekezo la mmoja wa wabunge wa bunge la katiba.

Sasa ni wazi kuwa rais wa sasa anajua umuhimu wa kubadili katiba yetu ili tuwe taifa ambalo demokrasia ipo juu na hakuna kikundi cha watu ambacho kitakuwa juu ya sheria.

Mfano, ili kuondoa uonevu mkubwa uliopo sasa, ni vyema tukawa na katiba ambayo itaruhusu wagombea binafsi. Maana kuna raia wanaouwezo wa kuongoza lakini hawataki kuwa na mafungamano na vyama vya kisiasa.

Pia ili kulinda haki za raia wa Tanzania ni vyema kuwa na katiba ambayo itaruhusu raia wa kawaida kufungua kesi mahakama kuu moja kwa moja bila kupitia kwa Dpp. Hii italeta usawa na haki katika kuhakikisha kesi hazipindishwi.

Sasa basi kwa sababu mnaapishana na kuahidi kukusanya kodi na kuendelea kujenga nchi,kumbukeni pia katiba mpya ni muhimu.
Naona team ramba miguu mmeisha lainika maana hamna namna .
Kubalini matokeo maisha yasonge tu
 
Kama hivyo basi tuombe mungu
Kama Zanzibar aitapata kibali cha kuwa safe haven ya banking kama ilivyo visiwa vya Jersey na Carribean; mods wa ban IP yangu they can do that.

Misimamo ya Othman Masoud ipo wazi kainadi sana kwanini anataka devolution kwenye maswala ya fedha.
 
Back
Top Bottom