Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Kama Zanzibar aitapata kibali cha kuwa safe haven ya banking kama ilivyo visiwa vya Jersey na Carribean; mods wa ban IP yangu they can do that.
Mkuu mbona unajiapiza sana au kuna kitu umekinasa?
 
Jana Mh Rais Samia alipokuwa akitoa nasaha zake na kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la mawaziri baada ya kiapo cha Dr. Mpango alitamka neno katiba mpya. Na leo baada ya kuwaapisha katibu mkuu kiongozi na mawaziri ametamka bunge la katiba mara mbili ingawaje inaonekana ni kwa bahati mbaya. Bila shaka yo yote ni wazi kuna kitu anawaza kuhusu katiba mpya kwa sababu maneno hayo hawezi kuyatamka bila kuwa na tafakari yo yote kichwani.

Tuzidi kuomba huenda itakuja siku isiyo na jina ataamua kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Subira yavuta heri!
Hasa kutokana na mkazo toka Zanzibar maana wanahitaji katiba mpya kuidi kitu chochote. Wanahtaji angalau kuwepo na serikali tatu. Kwa maono yangu hili suala la katiba mpya litafanyika baada ya uchaguzi wa 2025 ili yeye atoke akiwa na amani.
 
Wana JF

Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?

Haki huinua taifa.
Akikubali upuuzi wa katiba atakua ameangukia pua. Katiba ni chambo tu kuirudisha nchi nyuma na kuipotezea muda na umoja wake. Hakuna cha maana kinaweza patikana zaidi ya kulitoa taifa kwenye reli.
 
Binafsi mambo ya Katiba mpya najua hata ikija itakuja mpya kwa utarehe na kuchapwa upya (ila yaliyomo yatakuwa either ni yale yale au mabaya zaidi) unategemea nini kama mwisho yatapia Bungeni na Bunge likiwa chini ya huyu jamaa aliyepo sasa ?

Tutegemee tutapata Katiba ya Wabunge wa CCM na sio Katiba kwa Manufaa ya Watanzania..., Ukizingatia wananchi wengi ni Uninformed na wanalishwa propaganda (hapo wachache watapigania Dini zao bila kujali huku pengine kuna kitu gani)

Thus huenda kusahau kwanza kukawa a blessing in disguise (ya kuokoa vijisenti vyetu)
 
Katiba mpya inabidi iangazie hili lililo tokea sasa.

1. Kupunguza muda wa Urais hadi miaka 4

2. Bunge lipewe nguvu ya maamuzi kwa viongozi wateuliwa na mambo ya fedha za miradi .

3. Ni vyema kuwa na mfumo wa kibunge kuliko mfumo tulio nao sasa ili tuwe tunachagua wabunge tuu na kiongozi mkuu awe ni waziri mkuu.
Wana JF

Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?

Haki huinua taifa.
 
Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Mnahangaika saana kweliii. Katiba haitaboresha maisha yako kijana. Tunaimarisha uchumi wa taifa kwanza katiba baadaee
 
Mm naamini sababu katiba mpya pia ni kwa faida yake kama Mzanzibari
 
Akikubali upuuzi wa katiba atakua ameangukia pua. Katiba ni chambo tu kuirudisha nchi nyuma na kuipotezea muda na umoja wake. Hakuna cha maana kinaweza patikana zaidi ya kulitoa taifa kwenye reli.
Umerogwa wewe siyo bure
 
Samia hawezi kushirikiana na WAROPOKAJI.
POMBE MPYA CHUPA YA ZAMANI.

Utabakia hivyo hivyo na jiulize kwanini Mungu wenu Bashiru ametolewa pale ikulu hapo ndiyo utapata jibu la maswali yako.
 
Hasa kutokana na mkazo toka Zanzibar maana wanahitaji katiba mpya kuidi kitu chochote. Wanahtaji angalau kuwepo na serikali tatu. Kwa maono yangu hili suala la katiba mpya litafanyika baada ya uchaguzi wa 2025 ili yeye atoke akiwa na amani.
Sisi pia huku bara tuongeze mashinikizo mpaka akili imkae sawa!
 
Back
Top Bottom