Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu mbona unajiapiza sana au kuna kitu umekinasa?Kama Zanzibar aitapata kibali cha kuwa safe haven ya banking kama ilivyo visiwa vya Jersey na Carribean; mods wa ban IP yangu they can do that.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unajiapiza sana au kuna kitu umekinasa?Kama Zanzibar aitapata kibali cha kuwa safe haven ya banking kama ilivyo visiwa vya Jersey na Carribean; mods wa ban IP yangu they can do that.
Hasa kutokana na mkazo toka Zanzibar maana wanahitaji katiba mpya kuidi kitu chochote. Wanahtaji angalau kuwepo na serikali tatu. Kwa maono yangu hili suala la katiba mpya litafanyika baada ya uchaguzi wa 2025 ili yeye atoke akiwa na amani.Jana Mh Rais Samia alipokuwa akitoa nasaha zake na kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la mawaziri baada ya kiapo cha Dr. Mpango alitamka neno katiba mpya. Na leo baada ya kuwaapisha katibu mkuu kiongozi na mawaziri ametamka bunge la katiba mara mbili ingawaje inaonekana ni kwa bahati mbaya. Bila shaka yo yote ni wazi kuna kitu anawaza kuhusu katiba mpya kwa sababu maneno hayo hawezi kuyatamka bila kuwa na tafakari yo yote kichwani.
Tuzidi kuomba huenda itakuja siku isiyo na jina ataamua kuendeleza mchakato wa katiba mpya. Subira yavuta heri!
Halafu hautakamilika in time...kama ilivyokuwa kwa JKHuyu mama akikaribia kuondoka ataurudisha huu mchakato wa Katiba
It’s called intelligence 👋Mkuu mbona unajiapiza sana au kuna kitu umekinasa?
Akikubali upuuzi wa katiba atakua ameangukia pua. Katiba ni chambo tu kuirudisha nchi nyuma na kuipotezea muda na umoja wake. Hakuna cha maana kinaweza patikana zaidi ya kulitoa taifa kwenye reli.Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Na hata Jk ilifikia akaufanyia UNAFKI kwa faida ya CCM .Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Tumesikia na pia tumefahamu kuwa katiba mpya imo kichwani mwake. Tutaongeza mashinikizo mpaka asalimu amri!Mmeambiwa kwa sasa msahau,au hukusikia?
Hata huyo JK hakuitaka.CCM hawataki katiba mpya.Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Mnahangaika saana kweliii. Katiba haitaboresha maisha yako kijana. Tunaimarisha uchumi wa taifa kwanza katiba baadaeeAkikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Nikutakie uzidi kusongaIt’s called intelligence [emoji112]
ccm ilishakufa toka 2015 ilibaki kwa nguvu ya dola madarakani kwa kauli ya Bashiru🤣🤣
Awe wa kwanza CCM imfie kwenye utawala wake? Thubutu
Umerogwa wewe siyo bureAkikubali upuuzi wa katiba atakua ameangukia pua. Katiba ni chambo tu kuirudisha nchi nyuma na kuipotezea muda na umoja wake. Hakuna cha maana kinaweza patikana zaidi ya kulitoa taifa kwenye reli.
Utabakia hivyo hivyo na jiulize kwanini Mungu wenu Bashiru ametolewa pale ikulu hapo ndiyo utapata jibu la maswali yako.
Sisi pia huku bara tuongeze mashinikizo mpaka akili imkae sawa!Hasa kutokana na mkazo toka Zanzibar maana wanahitaji katiba mpya kuidi kitu chochote. Wanahtaji angalau kuwepo na serikali tatu. Kwa maono yangu hili suala la katiba mpya litafanyika baada ya uchaguzi wa 2025 ili yeye atoke akiwa na amani.
Sasa mbona nyinyi sukuma gang mnawayawaya ?Samia hawezi kushirikiana na WAROPOKAJI.
POMBE MPYA CHUPA YA ZAMANI.