King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Sasa kwani kawakomoa wapinzani au taifa ?!. Ukiwazodoa wapinzani hujui unalolifanya , kwani hujui wewe uzao wako utakuwa wa mrengo upi !!Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Sasa mbona nyinyi sukuma gang mnawayawaya ?
Huyu mama kwa kuomba utadhani sio mkuu wa serikali.Kasema nawaomba wasahau kidogo.
miye ninatumaini atatuletea katiba mpya
Kwa kuwa rasimu ya katiba ya Warioba ipo na ndiyo tunayoitaka mchakato hautachukuwa muda mrefu. Kikubwa tupige kura ya ndiyo au hapana!Halafu hautakamilika in time...kama ilivyokuwa kwa JK
Tumia ubongoNaona team ramba miguu mmeisha lainika maana hamna namna .
Kubalini matokeo maisha yasonge tu
Uko sahihi mkuuUkimisikiliza alivyofikia kutamka hivyo sidhani kama amemaanisha kuwa haina umuhimu kwa sasa, anamaanisha watu wanamsumbua sana kuhusu katiba na kusema wasahau kidogo wanamchanganya
Ni suala la muda tu, ila wameshajifunza. Mchakato ukianza utakamilika. CCM shida yao kubwa ilikuwa kwenye muundo tu wa serikali. Muda utaongeaHalafu hautakamilika in time...kama ilivyokuwa kwa JK
Of course ile iliyochakachuliwa na CCM haitakiwi kabisa! Inayotakiwa ni ile original ya Warioba.Hata akileta.
HAIWEZI KUWAPENDEZA CHADEMA.
Video hii hapa.
Dakika ya 9:20-9:27
Of course ile iliyochakachuliwa na CCM haitakiwi kabisa! Inayotakiwa ni ile original ya Warioba.
Team waramba miguu mpo hoi bin taaban baada ya kutupiwa viragoTumia ubongo
Siyo kabira bali nafsiMimi NI mmwera wa Lindi.
Sasa sijui mwanza na Lindi kuna umbali gani.