Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Rais katoa jibu la watu waliomuua Ally Kibao( mstaafu wa JWTZ). Maana Mama alipenyezewa taarifa kwamba, watu wa chama fulani wamefanya mkutano wanataka kukupindua/kufanya vurugu na moja ya mhusika Mkuu ni Mzee Ally Kibao kutokana mafunzo aliyoyapata JWTZ. Hivyo akashauriana na Usalama. Baadae kikosi maalum kikafanya yao. Mambo ya kulaani au kuchunguza hakuna chochote. Time will trll​
 
Lengo lao ni kuleta yale ya Kenya, wameichoka amani
 
Sasa na wao wanaiga maonyesho ya makomandoo wakati Amza aliwatoa jasho mpaka walinyea suruali zao
Yote hii ni kutisha watu ukiona serikali inatumia kodi za wananchi kutisha wananchi wake ambao ndio walipa kodi ,ujuwe hiyo serikali inajichimbia kaburi. Huwezi ukawa unaenda kinyume na kiapo chako halafu ukasema kwa kuwa bado unauwezo wa kuamrisha majestic hakuna cha kukufanya . Ghadafi alikuwa na majeshi yenye nguvu kuliko nchi yoyote barani Afrika. Unapo Tisha wananchi badala ya kutisha watumishi wa Uma, maanayake umetowa kibali kwa watumishi wa Uma kufanya uovu kwa wananchi . Kinacho tokea ni serikali dhidi ya wananchi. Wananchi itabidi tujilinde maana serikali ya ccm imeamuwa kulinda chama kuliko nchi.
 
Kifo ni kifo tu.
 
Mama Samia achana na kuchukuwa vi clip vya majengeni na kusema ni itelejensia. Yaani vijana wakae wangulelo kule Arusha kwa walevi wapange kuleta vurugu na useme hiyo ndiyo Chadema! Tulisha sema hapa kuna watu wanakurushia uongo na kutengeneza mazingira ili uwe tegemezi la usalama na Polisi kumbe wenyewe ndiyo wanataka kuleta vurugu. Polisi watafute wahalifu sio kuleta umbeya
 
Tangu enzi za akina Rwakatare na mipango ovu ya CDM mpaka hiv Majuzi Mahakama iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na kundi lake la kigaidi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…