KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 181
- 191
Tunasimama na mama .Hatutaki vurugu kwenye nchi yetu .#4Rforever#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani atakuwa mgombea? Kuna nabii alisema kuwa huyu amekataliwa. Ngoja tusubirie utimilifu wa unabii, tujue kama ulikuwa unabii kweli au hisia?Subirini 2025 kwenye uchaguzi mkuu, kura zenu zikiwa nyingi kuliko wafuasi wake, ndo ataachia kiti ila sio Kwa uhuni huo mliopanga.
Lengo lao ni kuleta yale ya Kenya, wameichoka amaniAmiri Jeshi Mkuu ameapa kuilinda na kuitetea URT, 1977.
Anazo clip zote za uhaini zilizo nyuma ya pazia.
Amiri Jeshi Mkuu ameongea huku mm nikiwa natetemeka .
Amiri Jeshi mkuu hajawahi kuongea vile tangu nimjue
Ameonea mnafanya mzaha na utani against her 4R
Sasa jichanganyeni tarehe 23 mnayotaka kuingia Barabarani
Hongera sana Amiri Jeshi Mkuu, sisi Vijana wako tunaokuunga mkono tuko tayr kwa maelekezo yako.
Wao wake zao wako Canada halaf wanataka kutuletea za kuleta, mipango michafu kabisa ilikuwa inasukwa, leo walijfanya wana kikao cha kamati kuu kumbe wap, uhaini mtupu
Yote hii ni kutisha watu ukiona serikali inatumia kodi za wananchi kutisha wananchi wake ambao ndio walipa kodi ,ujuwe hiyo serikali inajichimbia kaburi. Huwezi ukawa unaenda kinyume na kiapo chako halafu ukasema kwa kuwa bado unauwezo wa kuamrisha majestic hakuna cha kukufanya . Ghadafi alikuwa na majeshi yenye nguvu kuliko nchi yoyote barani Afrika. Unapo Tisha wananchi badala ya kutisha watumishi wa Uma, maanayake umetowa kibali kwa watumishi wa Uma kufanya uovu kwa wananchi . Kinacho tokea ni serikali dhidi ya wananchi. Wananchi itabidi tujilinde maana serikali ya ccm imeamuwa kulinda chama kuliko nchi.Sasa na wao wanaiga maonyesho ya makomandoo wakati Amza aliwatoa jasho mpaka walinyea suruali zao
Kifo ni kifo tu.Rais katoa jibu la watu waliomuua Ally Kibao( mstaafu wa JWTZ). Maana Mama alipenyezewa taarifa kwamba, watu wa chama fulani wamefanya mkutano wanataka kukupindua/kufanya vurugu na moja ya mhusika Mkuu ni Mzee Ally Kibao kutokana mafunzo aliyoyapata JWTZ. Hivyo akashauriana na Usalama. Baadae kikosi maalum kikafanya yao. Mambo ya kulaani au kuchunguza hakuna chochote. Time will trll
Hayupo!Mama Samia anasema yanayo tokea yako kila mahali sasa tuelezeni mbona watekwaji ni upinzani tu! Mwenye data atupe data za viongozi wa CCM waliotekwa na kuuliwa
Mauaji hayatokuepo maana maandamano naona hayapo piaKuna mauaji makubwa yanatokea 23/9 maana samia ametoa go ahead kwa polisi KUUA
Tangu enzi za akina Rwakatare na mipango ovu ya CDM mpaka hiv Majuzi Mahakama iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na kundi lake la kigaidi.?Mama Samia achana na kuchukuwa vi clip vya majengeni na kusema ni itelejensia. Yaani vijana wakae wangulelo kule Arusha kwa walevi wapange kuleta vurugu na useme hiyo ndiyo Chadema! Tulisha sema hapa kuna watu wanakurushia uongo na kutengeneza mazingira ili uwe tegemezi la usalama na Polisi kumbe wenyewe ndiyo wanataka kuleta vurugu. Polisi watafute wahalifu sio kuleta umbeya