Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Hivi serikali ya samaki ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka mpange mipango miovu halafu rais akae kimya? Over her dead body!Aisee
Ni kwamba wanamdanganya? au ndio mwisho wa akili yake ulipofikia
Mm naifahamu serikali ya samaki aina ya Kambale tu, ambayo kila mtu ni bosi (ana ndevu).Hivi serikali ya samaki ni ipi?
Biden ana matatizo mengi kuliko Samia. Ana watu zaidi ya milioni moja wanalala kando ya maduka kwenye maboksi.Endelea kumjaza ajione naye yuko sawa na Biden.
Simply because you differ in perceptions doesn’t make your President a crippled mind.Crap from crippled mind.
Kama mnawajua na mna ushahid wa kikao chao icho kwann msiwakamate
Serikali ya kambale kila mmoja ana sharubu na anajihisi yeye ndio mkubwaHivi serikali ya samaki ni ipi?
Naunga mkono hoja,Nchi hii haipangiwi na mpuuzi yeyote jinsi ya kujiendesha.Si busara kwa nchi moja kuingilia maswala ya ndani ya nchi nyingine.huu ni uhuni wa miaka ya zamani sana.
mtaenda tu kuomba pesa ndo mtajua hamjuhi. Majamaa yanawachora tu, labda mikopo yote tuchukue chinaSi busara kwa nchi moja kuingilia maswala ya ndani ya nchi nyingine.huu ni uhuni wa miaka ya zamani sana.
Mnazua taharuki ili mpate fedha za maandamano??mtaenda tu kuomba pesa ndo mtajua hamjuhi. Majamaa yanawachora tu, labda mikopo yote tuchukue china
Ssh ndiyo visionary leader mbonaView attachment 3098992
Tunaenda in circles tu, mtangulizi wake hakuwa mpumbavu, kuwapiga pini CDM hakuna siasa zingine wanazoweza zaidi ya kuhamasisha fujo.
Sasa una hamasisha vipi fujo bila ya kutengeneza matukio ya kuwapa wananchi hasira kwanza.
Tanzania sio developing country kiuchumi tu, hata social attitude bado sana kuelekea maendeleo ya nchi.
Hiyo nchi kwa sasa sio ya kubembelezana style yake ya uongozi ni moja tu. Anahitajika a visionary leader whose keen on autocratic rule.
Hakuna namna nyingine.
Asiseme akuambiwa ipo siku na yeye atawachoka tu CDM, kiko wapi.
Ambayo kila umri ukiongezeka busara hupungua na kuamini kwenye matumizi ya maguvu na kuonea wadogo.Hivi serikali ya samaki ni ipi?