Zeddicus zul Zorander
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 165
- 249
Sasa kama ni wahaini si niwakamatwe wakashtakiwe mahakmani kwa kosa la uhaini..sheria si ziko wazi kabisa kwa wahini??Amiri Jeshi Mkuu ameapa kuilinda na kuitetea URT, 1977.
Anazo clip zote za uhaini zilizo nyuma ya pazia.
Amiri Jeshi Mkuu ameongea huku mm nikiwa natetemeka .
Amiri Jeshi mkuu hajawahi kuongea vile tangu nimjue
Ameonea mnafanya mzaha na utani against her 4R
Sasa jichanganyeni tarehe 23 mnayotaka kuingia Barabarani
Hongera sana Amiri Jeshi Mkuu, sisi Vijana wako tunaokuunga mkono tuko tayr kwa maelekezo yako.
Wao wake zao wako Canada halaf wanataka kutuletea za kuleta, mipango michafu kabisa ilikuwa inasukwa, leo walijfanya wana kikao cha kamati kuu kumbe wap, uhaini mtupu
Au waoo wapo juu ya sheri?? Ujinga mtupuu tu apa