Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Kwani atakuwa mgombea? Kuna nabii alisema kuwa huyu amekataliwa. Ngoja tusubirie utimilifu wa unabii, tujue kama ulikuwa unabii kweli au hisia?
Achana na manabii matapeli, fomu ni moja tu Kwa ajili ya dk Samia wengine wasubiri 2030
 
Huwa nampuuza yule dada Kigagula wa Marekani kumbe anayoandika ni bonafide genuine.

Mama Tiktok kwenye mapishi naona kunamfaa sana amuachie hata mdogo wake Hussein hicho kiti lakini yeye ameshafeli.
Samiamustgo ni wrong move, kama ni maandamano ya amani yalipaswa kuja na slogan isiyo na chembe chembe za uhaini. gharama ya kumuondoa amiri jeshi mkuu madarakani kwa maandamano ni kubwa mno na ukiamua kupita hiyo njia hakikisha unauona mwisho na una sapoti ya kutosha kuufikia huo mwisho otherwise ni umeamua kuwapa wafuasi tiketi ya mauti.
 
Huyo unayemwita Amri jshi mkuu na kumpigia saluti,

Sisi wananchi tumemwajiri, tunamlipa mshahara, na tumemtuma KAZI ya kufanya, na akienda kinyume tunamkosoa tutakavyo, na asiposikia, tunamuwajubisha kupitia Sanduku la kura.

Kila Mmoja afuate Katiba na Sheria za nchi.
 
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
Giza limetanda tena Tanzania, kuna jini linahitaji kunywa damu za watu, lile kafara la Forojo Gaze la ushirikina wa mwenge limeisha nguvu, misukule imeamka.
 
Inasikitisha sana kusikia tamko la rais mwenye vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kuwakamata waliopanga vurugu, shutuma hizi zinaturudisha siku zilipita wakati aliposema kuwa -,

Toka Maktaba :

RAIS SAMIA"MBOWE NI GAIDI NDIO MAANA AKAKIMBILIA KENYA"ALIJUA POLISI WAMESAHAU/ACHA AWAJIBISHWE


2022 17 February
KESI YA MBOWE: RAIS SAMIA ATOA TAMKO AKIHOJIWA NA DW - "SIWEZI KUZUIA WATU KUONGEA


View: https://m.youtube.com/watch?v=V5KnMHmLq6o"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amejibu swali kuhusu kesi ya Mbowe aliloulizwa na mwandishi wa habari wa DW nchini Ujerumani ambapo ameeleza kuwa suala la kesi ya Mbowe iachiwe mahakama....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…