Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Na waliomdanganya na kusuka kesi ile ya kutunga ndiyo leo wanaongoza jeshi la polisi.
 
We jamaa huoni aibu ulisha Isha kwa gongo unatetemeka kwa shida zako
 
Sasa ndo tunafumbuliwa macho, kuuuuuuuuuuuuuuumbe watu wanataka kufanya mabaya hili kusitulie siyo. Hapo lazima wapigwe pini hasa. Tumeshajiimarisha kimaisha hatutaki kurudi nyuma ata kwa dawa.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Rais wetu kipenzi mimi sijamuelewa kabisa


Ndo kakemea au ndo katoa ruhusa ya kuendelea kutekwa na kuuwawa maana kasema kifo ni kifo tu

LONDON BOY
Mimi nimeelewa kuwa hao wanaotskwa na kuuwawa
Umemsikiliza Rais kweli? Amesema mambo hayo tangu day one na Leo pia.

Ila amesema haikubaliki kupangiana Cha kufanya kama kwamba Serikali haijui Cha Kufanya
Au hao ndiyo walipanga mipango Arusha hebu tusubiri picha la kihindi stering anafia kwenye maua
 
Wanamdanganya nini?
Kwanini msiwataje tu?

=====
Ukweli ni kwamba hizi vurugu mechi za Kisiasa huwa zinatokea wakati wa Chaguzi, kwanini?

Kwamba CHADEMA ikitengeneza haya mazingira, basi hili na lile likitokea basi serikali ilaumiwe tu... ianguke, halafu wao ndio washike Dola? Hapana.

Uzeni sera na sio kufanya siasa za uharakati, na kama mkishindwa, mjisajili tu kama NGO tu.
Aisee

CHADEMA katika ubora wao. Ni kuchafua hali ya kisiasa nchini.🤡

Hawachaguliki, sio 2024 na wala sio 2025.
 
Sasa ndo tunafumbuliwa macho, kuuuuuuuuuuuuuuumbe watu wanataka kufanya mabaya hili kusitulie siyo. Hapo lazima wapigwe pini hasa. Tumeshajiimarisha kimaisha hatutaki kurudi nyuma ata kwa dawa.
Unajiona kama umegundua jambo la maana kweli!
 
Nitajie mara ya mwisho Rais wa nchi hii kawajibishwa kupitia sanduku la kura?
 
Nawashauri CHADEMA waachane na 'samia must go' hiyo septemba 23 maana watatembezewa kichapo 'heavy' mno
Mimi nawaamini Hamas tu. Licha ya Isreal kupewa silaha zote za dunia lkn jamaa wanapigania ardhi yao na heshima yao.
 
Chadema Kwa muda sasa wamejaribu kuiga Kenya kwenye slogan wakati wa maandamano Kwa mfano maisha magumu na sasa must go,polisi wa tz nao waige polisi wa Kenya baada ya maandamano jioni iwe hesabu ya 39 wafa Tena barabarani next maandamano 23 wafa
Wapuuzi sana hao
 
Yaan wewe kwa akili zako watu wapange uahaini kukiwa nabushahidi hadi leo wasitiwe nguvuni.
 
Wakati Mbowe anapewa Ugaidi kulikuwa na Uchaguzi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…