Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Mwalim Nyerere anasema ni kujizuzua tu
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo Mh. Dr. JPM alikuwa anapunga upepo? Tuliaminishwa mtindo wa uendeshaji serikali ni uleule, watu walewale na kazi iendelee.
 
Mwacheni Mama afanye kazi bana, Hata angekuwa nani kusafiri ni lazima, JPM alivyokataa kusafiri mlimsimanga, Leo hii MaMA Kasafiri kidogo tu imekuwa nongwa! Mama fanya kazi yako wanadamu hawaridhishwi.
 
Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Hicho kiwanda alichozindua jana Samia ni jitihada za uyo unaemsema aliharibu nje! Shida hatutaki kuendana na wakati, Magufuli aliamini katika Diplomasia ya uchumi sio ya Diplomasia aliyokawanayo baba wa Taifa kipindi anapigania uhuru mwaka 1961 wa Tanganyika na nchi nyingine kusini mwa Jangwa la Sahara! Sasa hatutafuti uhuru ila tuimalishe Uchumi wetu kupitia Demokrasia.

 
Anakatisha Tamaa sana...hivi anajua hali halisi ta mtaani?...
Hakika kazi ipo...ila kila mtu ashinde mechi zake
 
Tupo nyuma sababu tuna serikali na watumishi wake hovyo wanaotengeneza mazingira magumu ya kufanya biashara. Mengine ni siasa tu.
 
Tulipigwa na chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa msoga kumpendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
View attachment 2035453
Kwa hili Masoud lazima atatengenezwa kesi ya ugaidi kwa sababu amepiga kwenye mshono. Yaani mama anatembea kwenye daraja lege lege la kamba(utawala dhaifu), amevaa mchuchumio (hatari ya kuanguka ni kubwa), hana kichwa (hajui chochote), na kichwa kimewekwa kwenye mkoba (akili zote anategemea kutoka Oman).
 
Mshamba wa madaraka ni yule ambae anaenda kushangaa huko nje huku akimini kuwa maendeleo hayaji bila kuzurula uko nje
Your browser is not able to display this video.
 
Kua uyaone
 
baadala ya kujengea uwezo watanzania wawekeze wenyewe unakwenda kuwaleta slave masters waje kuchukua slave wao na kuwaswaga...

Tuna eneo kubwa sana ambalo tukiwatumia hawa hawa watanzania nchi itakwenda mbele sana kwa kasi....

Jenga irrigation schemes kila kona ya nchi, shusha riba za mikopo kwenye mabenki mpaka chini ya 5%, yalete makampuni yajenge viwanda vya kuunganisha matractor na toa kodi kabisa na ushuru wa matraktor na zana zingine za kilimo... toa kabisa ushuru wa mazao huko mapolini...WAACHE WATANZANIA WALIME HALAFU UONE WATU WATAKAVYOLETA MAMELI KUNUNUA MAZAO YA KILIMO....

Serikali kupitia STAMICO ianze mara moja kuexplore maeneo ya uchimbaji na kutoa elimu kwa wachimbaji sambamba na usimamizi, muanze kukopesha vifaa vya uchimbaji na kodi iwe ndogo, mhamasishe watu wachimbe kwa kutoa usaidizi wa kitaalam na controlling kwenye maeneo yote ya uchimbaji.... serikali inunue madini kwa hata 50% na kuweka stock..

Serikali ipeleke vijana kwa kuwapa scholarship nchi mbalimbali wakajifunze skills mbalimbali sio kwenda kusoma PHD na degrees hapana short courses za kuacqure skills na pia hapa ndani vyuo vya veta viwekewe mafungu ya kutosha na kuwezeshwa kitalaam ili viweze kufundisha vijana wengi na serikali kutoa usaidizi wa mikopo kwa ajili ya viwanda vidogo vidogo...

Unahitaji akili ndogo sana kuitoa Tanzania hapa na kuipeleka mbele, Vingine vyote Mwenyezi Mungu alishatenda kwa kutupa ardhi yenye kila kiti...
 
Acha
Tulipigwa.Chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa Msoga kumteua hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
View attachment 2035453
Watanzania bwana.
Una vihoja vya ajabu sana. Kuna ubaya gani rais akisafiri.
 
Rubbish
 
Yeye kasafiri na kawavitia na mumewaona sasa wewe hapo unasemaje?
 
Sio tu mshamba bali asiyejua anafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…