Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Wewe hujui kama nauli ni zetu kupitia kulipa kwetu kodi?Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Hao ndio wanaadamu.Mwacheni Mama afanye kazi bana, Hata angekuwa nani kusafiri ni lazima, JPM alivyokataa kusafiri mlimsimanga, Leo hii MaMA Kasafiri kidogo tu imekuwa nongwa! Mama fanya kazi yako wanadamu hawaridhishwi.
Hatari snTulipigwa.Chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa Msoga kumteua hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
View attachment 2035453
Achana na fikra hizi, unamdhalilisha mama yako mzazi aliyekutoa mbali kutoka kwenye kujinyea na kujikojolea hadi leo bado haoni mbali?Nimefundishwa tangu utoto kutomlaumu mwanamke kwani uwezo wake wa kuona ni mita 100 tu,zaidi ya hapo machozi hutoka.
Puyanga tu mama we kosa huna
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.
Kamzuie asisafiri sasa nauli si unatoa wewe unalialia ili iweje?Nauli anatoa wapi kama sio pesa zetu/
Utakuwa unakaa kwa shemeji wewe.
Ndio maana ya huu uzi. Umeanzishwa ili ujumbe ufike.Kamzuie asisafiri sasa nauli si unatoa wewe unalialia ili iweje?
Kutoka Morocco? Mtalii atok Morocco ama mwekezaji wakati ye mwenyewe anashindia makande.Kuna waliosema ndege zilizonunuliwa zitaongeza watalii!!!!
Yaani upo sahihi kabisa anatafuta visingizo na wakati kuna mabaloziWatu wa pwani hawependi Mambo magumu,ndo maana wakasema mzigo mzito mpe mnyamwezi,hivyo Hangaya asitafute kisingizio.
Ni aibu tupu mkuuKutoka Morocco?mtalii atoke morocco ama mwekezaji wakati ye mwenyewe anashindia makande.
Tuendelee kudanganyana
Kiongozi anaweza kuongea hivi pale anapojua wananchi hawana uwezo wa kumrudisha nyumbani.Ifike mahali viongozi wa nchi wajue wanaweza kurudishwa nyumbani iwe kwa kura au maandamano. Ni kweli Watanzania ni wavumilivu na mimi ni mmoja wao lakini uvumilivu una mipaka yake."Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.
Chanzo: Radio One Nipashe Leo
Umemaliza mjadala,umewaelesha vizuri.Kama hawajaelewa,endelea kuwaelewesha,wataelewa tu.Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Asante kwa ufafanuzi.Mungu akubariki.Nafasi ya Tanzania pamoja na fursa zake kiuchumi na kiuwekezaji huwezi fananisha na Mataifa uliyoyataja!
Tanzania tuko nyuma kimaendeleo kwa sababu nyingi moja wapo ni kutojitangaza na kuji brand vizuri. Huwezivkujibrand na kujitangaza ukiwa ndani. Lazima utoke nje. Mama Samia yuko sahihi
fara ww ulifikili anatumia pesa zake za mfukoni unatumia.pesa vibaya za nchi eti unatafta wawekezaji si uwekeze izo kwazaMwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Sio watanzania ni wavumilivu.Watanzania tunaikubali serekali yetu,inafanyakazi vizuri sana,ndio ukaona wananchi tunaiunga mkono.Kiongozi anaweza kuongea hivi pale anapojua wananchi hawana uwezo wa kumrudisha nyumbani.Ifike mahali viongozi wa nchi wajue wanaweza kurudishwa nyumbani iwe kwa kura au maandamano. Ni kweli Watanzania ni wavumilivu na mimi ni mmoja wao lakini uvumilivu una mipaka yake.