Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Wewe hujui kama nauli ni zetu kupitia kulipa kwetu kodi?

Kama hili hujui basi wewe ni juha namba moja
 
Mwacheni Mama afanye kazi bana, Hata angekuwa nani kusafiri ni lazima, JPM alivyokataa kusafiri mlimsimanga, Leo hii MaMA Kasafiri kidogo tu imekuwa nongwa! Mama fanya kazi yako wanadamu hawaridhishwi.
Hao ndio wanaadamu.

Walimsema sana JPM kwa kuwa alikataa kusafiri, Leo mama kaamua kuzifukuzia fursa pia wanasema.

Kudaadeki zao mbweha hawa! Na miaka hii mpaka kufikia 2030 watasema mpaka vinywa vitoke makamasi
 
Mwaka wako wewe safiri sn hata uwe unaishi angani hakuna namna kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba ake
 
Akisafiri kwa fedha zake hakuna shida.
 
Nimefundishwa tangu utoto kutomlaumu mwanamke kwani uwezo wake wa kuona ni mita 100 tu,zaidi ya hapo machozi hutoka.

Puyanga tu mama we kosa huna
Achana na fikra hizi, unamdhalilisha mama yako mzazi aliyekutoa mbali kutoka kwenye kujinyea na kujikojolea hadi leo bado haoni mbali?
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.

Rais Samia safari Kila mahali kama unavyosema ila, Ukumbuke kuna Coronavirus . Hatuitaji tena kumpata Rais mwingine kupitia Kila kitabu cha mwaka 1977.​

Hivi kazi za mabalozi zitakuwa ni zipi kama kila kitu atataka kufanya yeye? Mbona hatuoni marais wa Ulaya na Marekani wakija kwetu?
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.

Chanzo: Radio One Nipashe Leo
Kiongozi anaweza kuongea hivi pale anapojua wananchi hawana uwezo wa kumrudisha nyumbani.Ifike mahali viongozi wa nchi wajue wanaweza kurudishwa nyumbani iwe kwa kura au maandamano. Ni kweli Watanzania ni wavumilivu na mimi ni mmoja wao lakini uvumilivu una mipaka yake.
 
Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
Umemaliza mjadala,umewaelesha vizuri.Kama hawajaelewa,endelea kuwaelewesha,wataelewa tu.
 
Nafasi ya Tanzania pamoja na fursa zake kiuchumi na kiuwekezaji huwezi fananisha na Mataifa uliyoyataja!

Tanzania tuko nyuma kimaendeleo kwa sababu nyingi moja wapo ni kutojitangaza na kuji brand vizuri. Huwezivkujibrand na kujitangaza ukiwa ndani. Lazima utoke nje. Mama Samia yuko sahihi
Asante kwa ufafanuzi.Mungu akubariki.
 
Mwendazake alishaharibu nje huko nyie maadui zake mwacheni maza akayajenge huko hii nchi aiendi bila tafu, kwani anakuja kuomba nauli kwenu?
fara ww ulifikili anatumia pesa zake za mfukoni unatumia.pesa vibaya za nchi eti unatafta wawekezaji si uwekeze izo kwaza
 
Kiongozi anaweza kuongea hivi pale anapojua wananchi hawana uwezo wa kumrudisha nyumbani.Ifike mahali viongozi wa nchi wajue wanaweza kurudishwa nyumbani iwe kwa kura au maandamano. Ni kweli Watanzania ni wavumilivu na mimi ni mmoja wao lakini uvumilivu una mipaka yake.
Sio watanzania ni wavumilivu.Watanzania tunaikubali serekali yetu,inafanyakazi vizuri sana,ndio ukaona wananchi tunaiunga mkono.
 
Back
Top Bottom