Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

showing her true colour, kuzurura ndio kunaleta investors? Childish attitude, na mabalozi wanafanya nini huko walipo? Anashindwa hata kujenga hoja akaeleweka?
Watoto wa Mjini tunasema tumepigwa!!
 
Kazi iendeleeee
 
Ni bahati mbaya kwa Tanzania yetu hii Watu 'very Intelligent and Visionary' kama Wewe hivi hawatakiwi na hawapendwi pia ila wale walio 'typical Fools' na 'Hypocrites' ndiyo wanatakiwa, kukumbatiwa na kupewa zaidi Kipaumbele katika CCM, Serikali na hata ndani ya 'System' yetu.
 
Pls ninong'onezee maana nasikia hits hicho kiwanda alichoenda kukifungua Jana kinatokana na ziara ya Rais wiki tatu zilizopita huko Misri?
Maana matangazo kibao mtaani eti matunda ya ziara za mama na Kama wamejenga kiwanda kwa wiki tatu Basi wako vizuri nadhani Hadi December mwakani tutakuwa tunaisogelea Korea.
 
Njia ya muongo fupi,baada ya miaka yake 4 ndo tutajua ziara hiza zilileta watalii au mama alikuwa akila Bata Kama mzee wa Msoga.
bata tupu, lakini hata kama ni mimi mkuu ningekula bata na watu wangu wa karibu sababu wananchi wenyewe ni wajinga hawajui hata haki zao
 
Nimeangalia mahojiano ya Dr Slaa aliyoyafanya TBC1 juzi na Gangana naona amekutaja Gentamycine.!
 
Vyovyote hiwavyo,mama tafuta wawekezaji sisi wakulima tulipotea kwenye ramani.Mazao kama dengu,choroko,mbaazi,kunde n.k yalikosa soko.
 
Hao ndio wanaadamu.

Walimsema sana JPM kwa kuwa alikataa kusafiri, Leo mama kaamua kuzifukuzia fursa pia wanasema.

Kudaadeki zao mbweha hawa! Na miaka hii mpaka kufikia 2030 watasema mpaka vinywa vitoke makamasi

issue sio kusafiri, unasafiri kwa manufaa yapi, nini impact ya kusafiri, nini impact ya wewe kutosafiri hovyohovyo na baadala yake kutumia resources nyingine kuleta matokeo yaleyale..

Unapojisifia kwa kusafiri kwenda kuleta wawekezaji wakati huku hujajenga uwezo kwa watu wako kuweza kuwaaccomodate hao wawekezaji au hujaweka mazingira rafiki kwa wawekezaji kuwekeza na jamii kunufaika...

Haina maana kuna muwekezaji wakati watu wako hawana mitaji ya kuwa supplies na watoa huduma kwa hao wawekezaji baadala yake wahindi na waarabu wanagrab hizo opportunities na watu wanaendelea kuwa watumwa...Lengo la kuleta wawekezaji sio win-win ( hii inabaki kwenye makaratasi) lengo kuu haswa ni sisi tuwin saaana na wao wawin kidogo lakini matokeo yake wao wanawin saaaana na sisi tunapoteza saaaana...
Madhara ya uwekezaji na watu kutokuwa tayari ni hii issue ya YUTEK kutupiga kwasababu ya watu kutokuwa timamu kiakili..

Tunataka uwekezaji, lakini uendana sambamba na kuacha alama kwa watanzania, namaanisha kupitia uwekezaji watanzania wengi wanufaike sio tu kupitia ajira na kulipwa hela mbuzi hapana, wapate ajira walipwe vizuri na usalama wao uzingatiwa na mafunzo wapewe, wawekezaji wawe joint venture na wazawa, wawekezaji watumie supplies wazawa na watoa huduma wazawa.....
 
Nimeangalia mahojiano ya Dr Slaa aliyoyafanya TBC1 juzi na Gangana naona amekutaja Gentamycine.!
Wewe ulijisikiaje baada ya GENTAMYCINE wa JamiiForums kutajwa na Mtu High Profile Figure kama Dk. Wilbroad Slaa?

Ukiwa ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hutokosa kuwa Mioyoni mwa Watu makini, wanafilosofia na Werevu.

Sifa zote ziende kwa Mwenyezi Mungu.
 
Its unfortunate that Intellectuals and Rational Thinker like you are very few in Tanzania.
 
Mmhhhh awamu ya nne mbona imeitangaza sana tz,maana safari zilikuwa za kutosha kama jk alishindwa wakati ule je ss ataweza kuitangaza? Jamani uhuru ukitamalaki haya mambo huja menyewe.
Mbona zamani tuliambiwa nchi ya amani sana walijuaje? Utawala wa sheria na haki ndo utambulisho haswa. Na wala huwezi kwenda kuwalamba miguu wao watakuja kuwekeza.
 
Ngoja amalize miaka yake mitano tuone hio branding kama itakuwa imemaliza machinga wenye masters mtaani kupitia ajira.
 
Mkuu


Tuliingizwa mjini kisa usawa wa kijinsia.

Ukiwa Zanzibar hasa pale Forodhani wenyeji wa viunga vya visiwa hivyo vya Unguja na Pemba wanathamini sana akiwa karibu na ngozi nyeupe, yuko radhi kufanya chochote alimradi apate fursa ya kuneemeka na alichonacho lakini kisichobadili uwezo wa kuvimiliki au kujitegemea.

*Inferiority complex is a disaster to humanity affairs
Whilst
*Superiority arrogance secures humanity dignity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…