Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

HHa
Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.
Hangaya hana tena "Pensheni" na hapo ndio pagumu zaidi maana akili zinaacha kukaa sehemu moja!
 
Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.
Hawa watu hawatakiwi kulaumiwa kabisa.Akikosea SAMIA tanamvaa mwanaume yoyote kule juu ndio tunamlaumu.
Tunaweza mlaumu MAJALIWA,MPANGO,NDUGAI nk ingawa kosa ni la SAMIA
 
baadala ya kujengea uwezo watanzania wawekeze wenyewe unakwenda kuwaleta slave masters waje kuchukua slave wao na kuwaswaga...

Tuna eneo kubwa sana ambalo tukiwatumia hawa hawa watanzania nchi itakwenda mbele sana kwa kasi....

Jenga irrigation schemes kila kona ya nchi, shusha riba za mikopo kwenye mabenki mpaka chini ya 5%, yalete makampuni yajenge viwanda vya kuunganisha matractor na toa kodi kabisa na ushuru wa matraktor na zana zingine za kilimo... toa kabisa ushuru wa mazao huko mapolini...WAACHE WATANZANIA WALIME HALAFU UONE WATU WATAKAVYOLETA MAMELI KUNUNUA MAZAO YA KILIMO....

Serikali kupitia STAMICO ianze mara moja kuexplore maeneo ya uchimbaji na kutoa elimu kwa wachimbaji sambamba na usimamizi, muanze kukopesha vifaa vya uchimbaji na kodi iwe ndogo, mhamasishe watu wachimbe kwa kutoa usaidizi wa kitaalam na controlling kwenye maeneo yote ya uchimbaji.... serikali inunue madini kwa hata 50% na kuweka stock..

Serikali ipeleke vijana kwa kuwapa scholarship nchi mbalimbali wakajifunze skills mbalimbali sio kwenda kusoma PHD na degrees hapana short courses za kuacqure skills na pia hapa ndani vyuo vya veta viwekewe mafungu ya kutosha na kuwezeshwa kitalaam ili viweze kufundisha vijana wengi na serikali kutoa usaidizi wa mikopo kwa ajili ya viwanda vidogo vidogo...

Unahitaji akili ndogo sana kuitoa Tanzania hapa na kuipeleka mbele, Vingine vyote Mwenyezi Mungu alishatenda kwa kutupa ardhi yenye kila kiti...
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ngoja amalize miaka yake mitano tuone hio branding kama itakuwa imemaliza machinga wenye masters mtaani kupitia ajira.
Kama mradi wa gesi ukianza, Bandari ya Bagamoyo itakayoajiri ajira direct na indirect zaidi ya laki 5 ikianza, mtu atakuwa machinga kwa kupenda tu
 
Kama mradi wa gesi ukianza, Bandari ya Bagamoyo itakayoajiri ajira direct na indirect zaidi ya laki 5 ikianza, mtu atakuwa machinga kwa kupenda tu
Waliokwambia wachina wao ajira hawazitaki ni nani? Graduates ni laki 2 kila mwaka wanamwagika mtaani!

Degree holders.

Mpaka hio bandari ijengwe ikamilike more than 1 million graduates watakuwa hawaajiriki sababu ya umri. Hilo unazungumziaje?
 
Kama Samia ndani ya miezi 9 tu katoa ajira 1000 TRA, 10,000 za walimu, 4000+ polisi, 3000+ magereza, 2000+ uhamiaji kwa nini ashindwe kutengeneza laki 5 kwa Bandari ya Bagamoyo ambayo pamoja na vyote itakuwa na industrial park na uwekezaji mwingine mkubwa?
 
Hizo ajira katoa wapi we fala? Ukiniambia vibarua ntaafiki😅 acha sifa za kipumbavu usintaftie ban tena?
 
Kama Samia ndani ya miezi 9 tu katoa ajira 1000 TRA, 10,000 za walimu, 4000+ polisi, 3000+ magereza, 2000+ uhamiaji kwa nini ashindwe kutengeneza laki 5 kwa Bandari ya Bagamoyo ambayo pamoja na vyote itakuwa na industrial park na uwekezaji mwingine mkubwa?
Hizo ajira zingekuwepo hamna mtu ambaye angekuwa kakosa ajira
 
Mkuu

Tuliingizwa mjini kisa usawa wa kijinsia.

Ukiwa Zanzibar hasa pale Forodhani wenyeji wa viunga vya visiwa hivyo vya Unguja na Pemba wanathamini sana akiwa karibu na ngozi nyeupe, yuko radhi kufanya chochote alimradi apate fursa ya kuneemeka na alichonacho lakini kisichobadili uwezo wa kuvimiliki au kujitegemea.

*Inferiority complex is a disaster to humanity affairs
Whilst
*Superiority arrogance secures humanity dignity
Huyu tunaye mpaka 2030 tuombe tu uzima.
 
Tafuta pesa mama ,Hawa wajinga wapiga Domo wa ndani hawana hata cherehani ..

Ziara zako tumeona tija na pia zitasaidia kurudisha imani ya kujiajiri na kuajiriwa..

Kuna wale walikuwa wanaimba viwanda wakaishia eti kutaja cherehani, pumbavu zao.
Pumbavu mwenyewe hicho alichozindua kilikuja muda gani kama unatumia akili na sio matako.
 
Ukweli upi? Wa kusema tunajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe mnakopa na kuomba misaada huko nje? Saivi mjinga wenu hayupo mnaaibika!
Hivi mama yeye hakopi au unataka kujitapa kwa kipi zaidi?
 
Pumbavu mwenyewe hicho alichozindua kilikuja muda gani kama unatumia akili na sio matako.
Kilikuwa mda gani? Pumbavu Sana ,,kimejengwa ndani ya uongozi wa Samia,hutaki kale misumari..

Kwa Samia kila mpuuzi atanyosha mikono,yajayo yanafurahisha👇

Screenshot_20211207-081356.png

Screenshot_20211207-105221.png

Screenshot_20211207-105734.png
 
Back
Top Bottom