Hangaya hana tena "Pensheni" na hapo ndio pagumu zaidi maana akili zinaacha kukaa sehemu moja!Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.
Hawa watu hawatakiwi kulaumiwa kabisa.Akikosea SAMIA tanamvaa mwanaume yoyote kule juu ndio tunamlaumu.Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]baadala ya kujengea uwezo watanzania wawekeze wenyewe unakwenda kuwaleta slave masters waje kuchukua slave wao na kuwaswaga...
Tuna eneo kubwa sana ambalo tukiwatumia hawa hawa watanzania nchi itakwenda mbele sana kwa kasi....
Jenga irrigation schemes kila kona ya nchi, shusha riba za mikopo kwenye mabenki mpaka chini ya 5%, yalete makampuni yajenge viwanda vya kuunganisha matractor na toa kodi kabisa na ushuru wa matraktor na zana zingine za kilimo... toa kabisa ushuru wa mazao huko mapolini...WAACHE WATANZANIA WALIME HALAFU UONE WATU WATAKAVYOLETA MAMELI KUNUNUA MAZAO YA KILIMO....
Serikali kupitia STAMICO ianze mara moja kuexplore maeneo ya uchimbaji na kutoa elimu kwa wachimbaji sambamba na usimamizi, muanze kukopesha vifaa vya uchimbaji na kodi iwe ndogo, mhamasishe watu wachimbe kwa kutoa usaidizi wa kitaalam na controlling kwenye maeneo yote ya uchimbaji.... serikali inunue madini kwa hata 50% na kuweka stock..
Serikali ipeleke vijana kwa kuwapa scholarship nchi mbalimbali wakajifunze skills mbalimbali sio kwenda kusoma PHD na degrees hapana short courses za kuacqure skills na pia hapa ndani vyuo vya veta viwekewe mafungu ya kutosha na kuwezeshwa kitalaam ili viweze kufundisha vijana wengi na serikali kutoa usaidizi wa mikopo kwa ajili ya viwanda vidogo vidogo...
Unahitaji akili ndogo sana kuitoa Tanzania hapa na kuipeleka mbele, Vingine vyote Mwenyezi Mungu alishatenda kwa kutupa ardhi yenye kila kiti...
Kama mradi wa gesi ukianza, Bandari ya Bagamoyo itakayoajiri ajira direct na indirect zaidi ya laki 5 ikianza, mtu atakuwa machinga kwa kupenda tuNgoja amalize miaka yake mitano tuone hio branding kama itakuwa imemaliza machinga wenye masters mtaani kupitia ajira.
Waliokwambia wachina wao ajira hawazitaki ni nani? Graduates ni laki 2 kila mwaka wanamwagika mtaani!Kama mradi wa gesi ukianza, Bandari ya Bagamoyo itakayoajiri ajira direct na indirect zaidi ya laki 5 ikianza, mtu atakuwa machinga kwa kupenda tu
Kama Samia ndani ya miezi 9 tu katoa ajira 1000 TRA, 10,000 za walimu, 4000+ polisi, 3000+ magereza, 2000+ uhamiaji kwa nini ashindwe kutengeneza laki 5 kwa Bandari ya Bagamoyo ambayo pamoja na vyote itakuwa na industrial park na uwekezaji mwingine mkubwa?Waliokwambia wachina wao ajira hawazitaki ni nani? Graduates ni laki 2 kila mwaka wanamwagika mtaani!
Degree holders.
Mpaka hio bandari ijengwe ikamilike more than 1 million graduates watakuwa hawaajiriki sababu ya umri. Hilo unazungumziaje?
Hizo ajira katoa wapi we fala? Ukiniambia vibarua ntaafiki😅 acha sifa za kipumbavu usintaftie ban tena?Kama Samia ndani ya miezi 9 tu katoa ajira 1000 TRA, 10,000 za walimu, 4000+ polisi, 3000+ magereza, 2000+ uhamiaji kwa nini ashindwe kutengeneza laki 5 kwa Bandari ya Bagamoyo ambayo pamoja na vyote itakuwa na industrial park na uwekezaji mwingine mkubwa?
Hizo ajira zingekuwepo hamna mtu ambaye angekuwa kakosa ajiraKama Samia ndani ya miezi 9 tu katoa ajira 1000 TRA, 10,000 za walimu, 4000+ polisi, 3000+ magereza, 2000+ uhamiaji kwa nini ashindwe kutengeneza laki 5 kwa Bandari ya Bagamoyo ambayo pamoja na vyote itakuwa na industrial park na uwekezaji mwingine mkubwa?
Naamini mshamba ni yule anayekaa ndani kama kuku anayetaga kutaga, akiamini anawazuia wasaidizi wake wasitajirike kumbe ni kinyume chake.Mshamba wa madaraka ni yule ambae anaenda kushangaa huko nje huku akimini kuwa maendeleo hayaji bila kuzurula uko njeView attachment 2035465
Huyu tunaye mpaka 2030 tuombe tu uzima.Mkuu
Tuliingizwa mjini kisa usawa wa kijinsia.
Ukiwa Zanzibar hasa pale Forodhani wenyeji wa viunga vya visiwa hivyo vya Unguja na Pemba wanathamini sana akiwa karibu na ngozi nyeupe, yuko radhi kufanya chochote alimradi apate fursa ya kuneemeka na alichonacho lakini kisichobadili uwezo wa kuvimiliki au kujitegemea.
*Inferiority complex is a disaster to humanity affairs
Whilst
*Superiority arrogance secures humanity dignity
Na utakula tena! Kwani kibarua sio ajira?Hizo ajira katoa wapi we fala? Ukiniambia vibarua ntaafiki😅 acha sifa za kipumbavu usintaftie ban tena?
Hebu amka kwenye huo usingizi wa hangover za double-kickNa utakula tena! Kwani kibarua sio ajira?
Wanakubalika sana na wapo in the rite direction. Nadhani hizo statement ndizo zinawafurahisha.Haikubaliki na nani? Ibadilike iwaje?
Endelea kulalamika! Samia ndo Rais wako hadi 2030! Hutaki rudi kwenu BurundiHebu amka kwenye huo usingizi wa hangover za double-kick
Ukweli utasemwa hata kama hamtaki! No icing sugar bruh!Endelea kulalamika! Samia ndo Rais wako hadi 2030! Hutaki rudi kwenu Burundi
Ukweli upi? Wa kusema tunajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe mnakopa na kuomba misaada huko nje? Saivi mjinga wenu hayupo mnaaibika!Ukweli utasemwa hata kama hamtaki! No icing sugar bruh!
Pumbavu mwenyewe hicho alichozindua kilikuja muda gani kama unatumia akili na sio matako.Tafuta pesa mama ,Hawa wajinga wapiga Domo wa ndani hawana hata cherehani ..
Ziara zako tumeona tija na pia zitasaidia kurudisha imani ya kujiajiri na kuajiriwa..
Kuna wale walikuwa wanaimba viwanda wakaishia eti kutaja cherehani, pumbavu zao.
Hivi mama yeye hakopi au unataka kujitapa kwa kipi zaidi?Ukweli upi? Wa kusema tunajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe mnakopa na kuomba misaada huko nje? Saivi mjinga wenu hayupo mnaaibika!
Kilikuwa mda gani? Pumbavu Sana ,,kimejengwa ndani ya uongozi wa Samia,hutaki kale misumari..Pumbavu mwenyewe hicho alichozindua kilikuja muda gani kama unatumia akili na sio matako.
SaaaaaaaaaanaaaaaaWanakubalika sana na wapo in the rite direction. Nadhani hizo statement ndizo zinawafurahisha.