Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Kuna ombaomba wa aina nyingi.
1. Wanaokaa pembeni ya barabara na mabakuli yao
2. Wanaozunguka ktk migahawa na mabaa wakiomba
3. Wanaokaa majumbani na kuwatuma ndugu na jamaa kuwaombea...nk
Kuzunguka huku na kule kuwaomba wawekezaji waje kwako ni kuomba pia...au? Kwa hiyo tuko fungu no. 2 - Rais, kwa ilani ya chama, anatangaza rasmi kuitekeleza.
Balaa ni kwamba, walioko ktk fungu hili, wana tatizo la kukosa kumbkumb. Ukihama mgahawa ukakutana nao, watakuomba tena, na haijalishi ulimpa kiasi gani.
Lakini, kuomba ni jambo moja, unavotumia ni jingine. Unaenda kuomba umevaa suti, umesindikizwa na idadi kubwa ya wapambe wamesafiri 1st class na wakati mwingine ndani ya ndege hiyo yupo balozi wa huko aendako ktk economy class halafu mnakaa meza moja unawaeleza kuwa nyie ni maskini mna shida nyingi!!

Na akaombe lkn ajue utendaji wa watu wake unajulikana, ndani na nje pia
 
Hata Burundi ni 3rd World county lakini kampuni yao ya intracom inajengwa kiwanda kikubwa kabisa cha mbolea Dodoma ..

Likewise Tanzania na Kenya nk ina wawekezaji Nchi nyingine sembuse India? Wivu utakuua.
 
Mbona umeiacha Marekani,Uingereza na South Africa ambazo zinaongoza kwa uwekezaji Tzn? Unahangaika sana kachambe ulale.
 
Sawa Mh. Rais ni sawa, ila tunaomba usafiri na watu wachache - pamoja na ulinzi wako na wasaidizi basi walau wasizidi 7, maana unaweza kwenda kuomba mil 2 wakati safari nzima umetumia mil 6.

Unaogopa gharama mkuu? Ndio uwekezaji wenyewe acha azunguke duniani kututafutia watz.
 
Unaonekana wewe una kichaa cha wivu fulani yaani uwekezaji kama huu hapa wa matilioni ni useless? Una shida mahala 👇





 

Tatizo huwa wanafichiana siri na kubebana sana
Hapo utakuta yule mchina alipita njia za nyuma kupata uwekezaji na hao hao ndio walikula nae Dili kwa kulima pembezoni mwa mto

Always likisanuka lawama haziwezi kamwe zikaangukia kwenye jengo bovu

Dili la makanjanja hilo
 
Hizo hizo ndizo tunazitaka,dad yako ambae sio kiazi kawekeza kipi chenye patent? 😁😁😀😀
 
Sio tuu huna haki bali hutakiwi kukosoa ambacho wenzako wameumiza kichwa kukifanya..

Unaropoka wakati hujawekeza hata m pesa kuajiri vibarua.
 
Unaogopa gharama mkuu? Ndio uwekezaji wenyewe acha azunguke duniani kututafutia watz.
Watu 50, business class aircraft tickets, 5 star hotel full paid, Perdiem $500 (per day); unaua familia.
 
Kilikuwa mda gani? Pumbavu Sana ,,kimejengwa ndani ya uongozi wa Samia,hutaki kale misumari..

Kwa Samia kila mpuuzi atanyosha mikono,yajayo yanafurahisha👇

View attachment 2035844

View attachment 2035845

View attachment 2035846
Nikikwamnia wew ninpung'o utabisha?
Rudia kusikia speech ya mwambe wakati wanampa huyo muwekezaji eneo na kuanza ujenzi alikuwaa ni mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji kwa maana hiyo aliku sio mbunge sasa huo ulikua muda gani nyumbu wewe?
Usiwe unadandia mambo na ushabiki wa kujinga.
 
Wawekezaji hutafutwa,dangote hakuja tu,plus matangazo CNN and the like,unadhani dunia inaijua tz kihivyo kwamba Wana taarifa zote!!?
 
Kwenye uwekezaji tunaangalia mtu ana mtaji na Tek husika,tnalenga Kodi,ajira,haijalishi katika wapi,hoja ya kutaka waje wazungu ni hoja ya kijinga,inayotokana na athari za biashara ya utumwa na ukoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…