Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Kuna ombaomba wa aina nyingi.
1. Wanaokaa pembeni ya barabara na mabakuli yao
2. Wanaozunguka ktk migahawa na mabaa wakiomba
3. Wanaokaa majumbani na kuwatuma ndugu na jamaa kuwaombea...nk
Kuzunguka huku na kule kuwaomba wawekezaji waje kwako ni kuomba pia...au? Kwa hiyo tuko fungu no. 2 - Rais, kwa ilani ya chama, anatangaza rasmi kuitekeleza.
Balaa ni kwamba, walioko ktk fungu hili, wana tatizo la kukosa kumbkumb. Ukihama mgahawa ukakutana nao, watakuomba tena, na haijalishi ulimpa kiasi gani.
Lakini, kuomba ni jambo moja, unavotumia ni jingine. Unaenda kuomba umevaa suti, umesindikizwa na idadi kubwa ya wapambe wamesafiri 1st class na wakati mwingine ndani ya ndege hiyo yupo balozi wa huko aendako ktk economy class halafu mnakaa meza moja unawaeleza kuwa nyie ni maskini mna shida nyingi!!

Na akaombe lkn ajue utendaji wa watu wake unajulikana, ndani na nje pia
 
India nayo ni nchi au ni 3rd world stinking shithole?

India ana proprietary technology anaweza transfer to anyone?Yeye anaomba na analipia royalties ya tech zote Ulaya..halafu anakuja kwako atakusaidia nini?

Malaysia ni shithole,nae anatumia tech ya mzungu na analipa royalties kwao..

Egypt ni shithole 3rd world banana republic

Nissan anaetoka Japan kaja lini na wapi?

Mkuu uwekezaji unaoleta mabadiliko ni kutoka kwa true owners wa world's technologies na true multinational companies sio hizi story za Egypt anaepokea msaada toka nje kama Tanzania

Stop this stupidity

Ni heri Kikwete alikua anaongea na akuchukua hela kwa mfuga mbwa kabisa na sio hawa mbwa....
Hata Burundi ni 3rd World county lakini kampuni yao ya intracom inajengwa kiwanda kikubwa kabisa cha mbolea Dodoma ..

Likewise Tanzania na Kenya nk ina wawekezaji Nchi nyingine sembuse India? Wivu utakuua.
 
mtapata "uwekezaji" toka nchi masikini na third world countries tu

Au nchi za kidikteta kama China

List yote wanayojaribu kuja ni haya mavi:

Egypt--3rd world shithole
India-3rd world shithole
China-dictatorship
Burundi-3rd world shithole
Kenya-3rd world shithole
shithole
shithole
Shithole

Nonsense tupu hizi..hizi si uwekezaji ni uchafuzi
Mbona umeiacha Marekani,Uingereza na South Africa ambazo zinaongoza kwa uwekezaji Tzn? Unahangaika sana kachambe ulale.
 
Sawa Mh. Rais ni sawa, ila tunaomba usafiri na watu wachache - pamoja na ulinzi wako na wasaidizi basi walau wasizidi 7, maana unaweza kwenda kuomba mil 2 wakati safari nzima umetumia mil 6.

Unaogopa gharama mkuu? Ndio uwekezaji wenyewe acha azunguke duniani kututafutia watz.
 
Uwekezaji wa hizo nchi kiserikali ni useless maana ni non-profit na ni wa vihela vidogo vidogo....

Sasa,elewa uwekezaji wa nchi na multinational private corporation behemoths ni tofauti

Uwekezaji wa serikali ya marekani Tanzania ni none profit na ni useless

Tunataka uwekezaji serious wenye matokeo wa kitu multinational kama Google

Au Microsoft au TSMC au Germany's Siemens,au Belgium's Diageo,wasiweke Kenya waweke kwetu,ndio utaona tofauti

Sio huu upumbavu anakuja balozi wa Marekani au China ikulu pale wanapiga picha anasema tunawekeza kama serikali sehem so and so

Thats nonsense na useless!

Multinationals ndio the real deal here and nothing else.

Kikwete alikua anaweza kuongea nayo at some level...

Shida sio kuongea nayo kiivyo,ni kufumua mfumo wote wa siasa wa nchi iwe nchi huru on the Ghana's or SA's or Kenya's level,sio huu upumbavu jaji anapigiwa simu afunge mtu anafunga!
Unaonekana wewe una kichaa cha wivu fulani yaani uwekezaji kama huu hapa wa matilioni ni useless? Una shida mahala 👇

Screenshot_20211207-105903.png


Screenshot_20211029-081625.png


Screenshot_20211026-201022.png
 
Kesha toa msimamo wake kuwa yeye sio wa kushinda nyumbani, bali atakatiza kila nchi akisaka "wawekezaji"

Sijui kuwa kama huyu mama anatunza kumbukumbu, kuna yule mchina kule Ruvu walimruhusu awekeze kilimo cha mboga mboga, sasa tumeshuhudia huyo muwekezaji akitimuliwa kisa mashine yake ya kusambaza maji ktk bustani yake ni powerful zaidi hivyo imechangia upungufu wa maji [emoji23][emoji23]

Leo tena mama katangaza atasaka wawekezaji nchi za nje waje wawekeze [emoji15]

Nonsense!

Tatizo huwa wanafichiana siri na kubebana sana
Hapo utakuta yule mchina alipita njia za nyuma kupata uwekezaji na hao hao ndio walikula nae Dili kwa kulima pembezoni mwa mto

Always likisanuka lawama haziwezi kamwe zikaangukia kwenye jengo bovu

Dili la makanjanja hilo
 
Wewe maiti

Hakuna uwekezaji wowote wa maana hapo

Elesewedy kampuni ya electrical Egypt ni masikini na ndogo kama zingine,ni contractor wa umeme kama alivyo Derm Electric

Egypt nchi masikini 3rd world country from Africa,nchi haina patents zozote za innovation yeyote popote

Viazi nyie
Hizo hizo ndizo tunazitaka,dad yako ambae sio kiazi kawekeza kipi chenye patent? 😁😁😀😀
 
Baba yangu ana uhusiano gani na uvumbuzi au uwekezaji Tanzania?

Tunapozungumzia hoja hapa na wewe unaleta wanadamu wengine wasiohusika kabisa inaonesha huna cha kujibu

Kwavile sijavumbua kitu sina haki ya kuongea chochote au hata ku-comment from user perspective kuhusu hilo?

Kwavile hujui kucheza mpira kama Messi basi huna haki ya kuongelea lolote kuhusu mpira?

Umeona hoja yako inapogeuka mavi?

Eleswedy ni electrical contractor Egypt...ni contractor aliechoka kama Namis Electrical in Tanzania

Uwekezaji wenye impact mpaka technology transfer inafanyika haifanywi na mbwa inafanywa na mfuga mbwa.

Elewa hilo
Sio tuu huna haki bali hutakiwi kukosoa ambacho wenzako wameumiza kichwa kukifanya..

Unaropoka wakati hujawekeza hata m pesa kuajiri vibarua.
 
Unaogopa gharama mkuu? Ndio uwekezaji wenyewe acha azunguke duniani kututafutia watz.
Watu 50, business class aircraft tickets, 5 star hotel full paid, Perdiem $500 (per day); unaua familia.
 
Kilikuwa mda gani? Pumbavu Sana ,,kimejengwa ndani ya uongozi wa Samia,hutaki kale misumari..

Kwa Samia kila mpuuzi atanyosha mikono,yajayo yanafurahisha👇

View attachment 2035844

View attachment 2035845

View attachment 2035846
Nikikwamnia wew ninpung'o utabisha?
Rudia kusikia speech ya mwambe wakati wanampa huyo muwekezaji eneo na kuanza ujenzi alikuwaa ni mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji kwa maana hiyo aliku sio mbunge sasa huo ulikua muda gani nyumbu wewe?
Usiwe unadandia mambo na ushabiki wa kujinga.
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.

Chanzo: Radio One Nipashe Leo

Mlioko Rwanda, Ethiopia, Misri, Afrika Kusini, Kenya, Morocco na Botswana je, na Wao huko kwa idadi Kubwa ya Wawekezaji ( mpaka Watalii ) walioko na wanaoendelea Kufurika huko ni kutokana na Marais wao 'Kutalii' Ulaya, Marekani, Asia na Mashariki ya Kati Kuwatafuta?

Na je, kama Kazi ya Rais wa Tanzania ni Kusafiri sana Nje ya nchi ili kuwavutia Wawekezaji waje Tanzania nini Kazi ( Jukumu Mama ) la Mabalozi wetu walioko huko na Waziri wa Mambo ya Nje?

Mwisho kabisa GENTAMYCINE nauliza hivi Wawekezaji wanakuja nchini kutokana na Mazingira Rafiki ya Uwekezaji na Biashara ambayo huwa yanajitangaza tu yenyewe kutokana na Historia ya nchi husika Kisiasa na Kidemokrasia au yanamtaka Rais aanze 'Kuzunguka' kuwafuata?

Hata hivyo sishangai sana kama Mshauri Mkuu alikuwa Kinara wa Kukesha Angani huku akilala na kuamkia huko 'Majuu' kwanini na anayemshauri nae 'asiambukizwe' Utamaduni huo ambao kwa Wataalam wa Uchumi wanasema unaitia Hasara nchi / Serikali kwa Kugharamia 'Delegation' yake nzima.

Sijui na Mimi kwa Kusema na Kuhoji hili nitajumuishwa katika kile alichokiita Kikosi Maalum na cha Kimkakati cha Kumkwamisha na Kumuharibia alichokitaja huku akiwa amekasirika sana Juzi kule Mbagala.

Ewe Mwenyezi Mungu usiniache Baba!!
Wawekezaji hutafutwa,dangote hakuja tu,plus matangazo CNN and the like,unadhani dunia inaijua tz kihivyo kwamba Wana taarifa zote!!?
 
Kwenye uwekezaji tunaangalia mtu ana mtaji na Tek husika,tnalenga Kodi,ajira,haijalishi katika wapi,hoja ya kutaka waje wazungu ni hoja ya kijinga,inayotokana na athari za biashara ya utumwa na ukoloni
 
Back
Top Bottom