Rais Samia: Nitaifumua Wizara ya Mambo ya Nje

Samia apewe awamu saba za uongozi, big up madam presidenti
 
samia uwezo huo hana.she's misfit to the position.
jitu linapiga kelele wakati vijana hawana ajira.
 
It's obviously there are problems. She has to act ASAP !!
 
Balozi zetu dah!

Kama huu uliopo hapa Washington DC. Hata NIDA wana unafuu. Sijui tatizo ni nini 🚮🚮🚮
Washington na Canada ni takataka kabisa.
Tena ubalozi wa Canada upo tu kama ofisi ya watendaji huko vijijini. Ofisi ina mambo ya hovyo na aibu mpaka unadharau kabisa ukisikia mtu anajitambulisha au anatambulishwa kuwa ni Mwanadiplomasia kutoka Tanzania.
Ubalozi kabisa unakuta wafanyakazi wapowapo kama wahudumu wa chai kwenye ofisi za kibongo. Unaingia unakuta wamefungulia mziki wana selebuka ofisini????
 
Reform za Tanesco ndo zinahamia Wizara ya mambo ya nje?

Kwani ni LAZIMA kupokea Kila ushauri pasi kuchuja?

Kipara anaweza kufanya reform Gani?
 
Magufuli aliharibu mambo mengi nchi hii.
 
Hawa jamaa Dah!
Yaani kama wananchi yao.
Hawashikiki kama wizara ya maliasili na utalii.
Kiukweli balozi zetu zinakuwa kama mawakala wa nchi walizotumwa wanasahau kama wapo pale kwa ajili ya watanzania. Watanzania watakushukuru kama kweli utaifumua hii wizara, maana watendaji wengi wao kama si wote wanakuwa miungu watu, muda mwingine unatamani kuwa mchawi kwa vizingiti wanavyokuwekea mtu anakuambia nafanya hivi na unifanyi kitu chochote kama ofisi ya ukoo wa baba yake na wajomba zake, anasahau kama yupo pale kwa ajili ya watanzania na analipwa mshahara kwa kodi watanzania wa chipaka na mwaseni sio kutoka kwenye account ya baba yake.
 
January hana speed yoyote best labda ya upigaji tu. Hakuna wizara yoyote kaacha alama positive labda ile ya kuzuia mifuko ya plastic tu

mifuko ya plastik siyo yeye aliyezuia na wala hakuwa na uwezo huo ilikuwa ni mpango wa serikali 2015/20 hivyo yoyote ambaye angekuwa hiyo wizara angezuia pia hata kama angekuwa nape …
 
Issue sio kuisuka wizara upya ,tatizo ni kuwapa vilaza wizara kama akina Makamba alafu ww uliyemteua kilaza unatarajia creativity ndani ya wizara,yaani unalima mahindi alafu anataka kuvuna korosho lzm kiwe kichekesho.Rais anatakiwa ajielewe na teuzi zake anazofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…