π π π π π π π ...Amejitwalia kiti cha mbele kama geni rasmi. wakati hatakiwi kukaa hatra nje ya ukumbi. Ujinga ni kipaji kwa watu wengine. Na huwa wanatumia maguvu kama yote wakijitutumua ili waonekane na wao wapo. Kweli huyo hamzoπππππKweli we hamnazo!
Makamba aliyelidodesha taifa kiuchumi wizara ya Nishati, ndio kwako unaiona spidi?
Yap, kwanini? Maana ufuatiliaji ni mdogo, monitoring ni kama hakuna, na pia hawana pressure ya kudeliver service za viwango.
Kwenye private sector monitoring ni ya hali ya juu maana wanajua wakilega mapato yanapungua.
Serikalini wakilega nn kinapungua kama everymonth mshahara upow with less monitoring?
Makamba tapeli Sana yule,Anataka kufanya kwa maelekezo ya Makamba? Kama alivyonteua Maharage baada ya kufanyiwa usail na Makamba?
Mambo ni mengi mno, naona Makamba anepata chaka lingine la kupiga fedha za Umma kwa kisingizio cha βreformβ [emoji3][emoji3]
Halafu amwambie Makamba yule aliyempa tenda za Nguzo za zege zimeanza kukatika huku [emoji24][emoji24][emoji24]
Makamba katurudisha nyuma Sana wizara ya nishati, kaondoka bado tanesco wanajitafta angalau waone km watasetoKweli we hamnazo!
Makamba aliyelidodesha taifa kiuchumi wizara ya Nishati, ndio kwako unaiona spidi?
Uyu kipara anajifanya kila kitu anajua[emoji34]Reform za Tanesco ndo zinahamia Wizara ya mambo ya nje?
Kwani ni LAZIMA kupokea Kila ushauri pasi kuchuja?
Kipara anaweza kufanya reform Gani?
Kamanda Sirro haponi hapo kwenye fumua
Cc...ha ha ha ! .... FaizaFoxyπ π π π π π π ...Amejitwalia kiti cha mbele kama geni rasmi. wakati hatakiwi kukaa hatra nje ya ukumbi. Ujinga ni kipaji kwa watu wengine. Na huwa wanatumia maguvu kama yote wakijitutumua ili waonekane na wao wapo. Kweli huyo hamzoπππππ
Speed kali ya wizi labdaSafi sana mama.
Nimemsikia akiyaongea madudu ya huko.
Sasa namuelewa kwanini anawapeleka vijana wenye speed kali huko.
Mtakufa navyo vijiba vya roho.Sp
Speed kali ya wizi labda
Kama jitu jizi kila sehemu linaalibu lisisemweMtakufa navyo vijiba vya roho.