Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

"Hata msipotupigia kura tutaunda serikali tu"......SSH.
 
Cjui kwnn nmemkumbuka bi.Kirembwe
 
 
Malalamiko anaita Kelele

Mjadala wa Katiba anaita Chokochoko

Shughuli halali za kisiasa anaita fujo za kisiasa

Huyu ana dharau sana

Fanya kazi. Lima bustani. Do something. Mama is Right kwa kuwa anasoma na nia zenu. Mwaka Jana uchaguzi. Nini tena. Lini mtafanya kazi?
 
Bavicha wanaruka na kukanyagana[emoji23]
Hawana akili hawa jamaa.

Unaona sasa wametuliaaaaa, hakuna hata mmoja anaeweka kelele.

Watu walishauri wabinywe mbupu zao watatulia umeonaaaa???πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Halafu ki-puuzo cha mama kinaumaaaaa

Imagine wanaume wanakaa kumjadili halafu mama mwenyewe hana habareee.... yeye anachapa kazi taratiiiibuu

Ningekua Mimi ningeacha kumsema
Kinauma sana!

Mama yuko vizuri aiseeee. Anaupiga mwingi balaaa
 
TUTAKUMBUKA MANENO YA BASHIRU ALLY KAKURWA, "MAMA NCHI YETU HAIPO TAYARI KUWA NA RAIS MWANAMKE, UNAONAJE UKIJIUZULU"?...
 
The fact kwamba CCM iko madarakani haiamaanishi kwamba CCM ni superior kwa CUF ni suala
My friend, CCM ni superior kuliko CUF ,toka mfumo wa vyama vingi viingie mpaka sasa, kwa vipimo vyote vilivyopitishwa na viwango vya jamii.

Hii ni fact, hakuna namna yoyote ya kupotosha hili. Suala la Kesho ni Mungu ajuaye, lakini kuna uwezekano mkubwa CCM kuendelea kuwa Superior pia kutokana na mwenendo wa CUF ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…