Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tatizo Nyerere
Tangu mwaka umeanza ameshaenda kwao zaidi ya mara 6Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.
Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!
Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.
Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Wanaomshauri wote ni wasaka fursaTatizo rais hapangiwi cha kufanya. Ref: JPM "mimi ndio rais, sipangiwi"
Kingine watu wanaomzunguka mh huwa ni watu ndio mtukufu mtwa kama si watu walio makini sana kulinda kitumbua chao kisipatwe mchanga
Kwenu umeenda mara ngapi?Tangu mwaka umeanza ameshaenda kwao zaidi ya mara 6
Nipo kwetu hata nahivyo pia nipo kwa gharama zangu na siyo kwa pesa za umma. Shame on youKwenu umeenda mara ngapi?
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.
Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!
Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.
Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Katika hili la safari za kwenda nyumbani kwao sioni tatizo. Hata ikiwa ata commute/Kwenda na kurudi Ikulu kila siku. Maana ni nyumbani.Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.
Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!
Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.
Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Umeshasema kwao.Tangu mwaka umeanza ameshaenda kwao zaidi ya mara 6
Kwanini asiende kwa gharama zake?Umeshasema kwao.