Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.

Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!

Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.

Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Huyu mama anatuona watanzania wote kama majuha.

Hakuna sababu yoyote muhimu iliyomfanya kwenda Zanzibar kwa maadhimisho ya siku ya wanawake.

Labda tu alitaka kumfunika Mwinyi kwa utenguaji wake kuondoa wazembe serikalini tofauti na yeye anaewaambia wale urefu wa kamba zao.
 
Rais Kupitia kile kitabu cha 1977 na sio kupitia wananchi.​

A
Hayati JPM alikuwa anakwenda Chato kwa nauli yake mwenyewe?.

Akienda chato alikuwa anapita singida, tabora, shinyanga , mwanza na Geita kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi.
Huyu aliyepo anapita angani kila saa akiwaamini wakuu wa mikoa wanasikiliza kero za wananchi na kusimamia miradi, kule geita mkuu wa mkoa ni mchimbaji
 
Mwacheni mama, hayati alikua anaapisha viongozi Chato na mlifunga midomo yenu
Did you ask why watu walikua kimya na kuridhia?

Perhaps watu walimpenda na kumuamin kias cha kutokua na shaka naye... Ila ukiona watu kinawafurukuta rohon.. ujue bas kuna uwalakin.
 
2025 si mbali ki vilee, labda ang'ang'anie madarakani, na akijaribu tuu anafata jiwe………...
 
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.

Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!

Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.

Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Zanzibar siyo Kenya mkuu, hata yule mwingine alipoulizwa mbona kila kitu Chattel akajibu huko pia ni Tanzania
 
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.

Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!

Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.

Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiitifaki kila mkoa nchini una ikulu ndogo inayokidhi kutumiwa na Rais, kubwa zaidi ni nyumbani alikozaliwa na kukulia. Ingekua ajabu kusikia majukumu ya nchi anasafiri kwenda nchi nyingine kuendesha shughuli za nchi yake lakini ndani ya nchi yake popote ni halali na hakuna wa kumzuia. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan chapakazi, Kazi Iendelee!
 
Tangu ateuliwe kupitia katiba ni mwaka mmoja sasa hajawahi kufika mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Kule panatawaliwa na Rais wa Msumbiji?
 
A

Akienda chato alikuwa anapita singida, tabora, shinyanga , mwanza na Geita kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi.
Huyu aliyepo anapita angani kila saa akiwaamini wakuu wa mikoa wanasikiliza kero za wananchi na kusimamia miradi, kule geita mkuu wa mkoa ni mchimbaji
Bado mnazo zile fikra kwamba SSH ni mrithi wa JPM basi na afanye kila kitu kama yeye!. Ondokaneni na hizi fikra potofu kwanza.
 
lisemwalo lipo..ila Mimi sioni tatizo Samia kwenda kwao.
kwa mfano Mimi ninavyoipenda bagamoyo hata siku nikiwa kiongozi lazma nitakuwa nakwenda tu.
M

Mzee mwinyi anaumwa ndio sababu nakwenda kwao kila wakati kumsalimia
 
Back
Top Bottom