Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

Usipoangalia mpaka ukifika muda huo utakua unaishi na maumivu iwapo SSH ataendelea kuwa rais mpaka 2030.

06D56071-7875-4A4B-A966-A4690261AE05.jpeg
 
waacheni nao wazazibari wapumue, mmewanyonya mno toka mwaka 64 wamevumilia tu.
 
Aende tu, sina shida na hilo! Kukopa kwa jina la Tanganyika kwaajili ya Znz wasiochangia kulipa mkopo huo ndo tatizo kubwa ikifiatiwa na mgawanyo usio sawa wa utajiri wetu; wanadai wao ni nchi huru, sasa unahamaje nchi yako kwenda nchi nyingine bila vibali, pasi ya kusafiria, resident permit? Zaidi inajichukulia tu ardhi kama uko Makunduchi....

Mwenyekiti wa CCM haoni tatizo, raisi wa JMT anaona sawa, raisi wa Tanganyika bwana Mipango kawekwa mwandani, hafurukuti n.k
Tanganyika ndiyo nini? Mbona haionekani kwenye ramani, haionekani kwenye Atlas, haionekani kwenye Google Maps? Unataka Wazanzibari waombe vibali vya kwenda nchi ambayo haionekani? Machogo mna matatizo sana.
 
Kazi iliyofanywa na Muasisi ishaingia Dosari..., Alilikoroga JPM kwahio haya ndio Matokeo..., Ingawa hio sio excuse ya huyu pia Kuendeleza
 
Back
Top Bottom