Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

Wewe una kura ngapi na kutoka wapi?
Hatuhitaji kura nyingi za dhulma na damu za watu.
Hata 50.5 ni ushindi utakaompa uongozi na tutaleta Serikali ya umoja wa Kitaifa. Mbowe Naibu Waziri Mkuu. Nchi imechangamka kuanzia 2022 mpaka 2035 akistaafu Rais wetu mpendwa. Akituletea Katiba mpya bas atakua Malkia na mama wa Taifa apende asipende .
 
Wachaga na wapare walipopewa wizara ya fedha walijaza ndugu zao huko na kupeleka Kila aina ya miradi kilimanjaro
 
Tatizo rais hapangiwi cha kufanya. Ref: JPM "mimi ndio rais, sipangiwi"
Kingine watu wanaomzunguka mh huwa ni watu ndio mtukufu mtwa kama si watu walio makini sana kulinda kitumbua chao kisipatwe mchanga
Tatizo ni sisi wenyewe, tuna undumilakuwili usiomithirika. Jusi Ndugai ameonyesha kutokubaliana na tabia ya nchi kuendekeza ukopajikopaji usio na maana, sisi hawa hawa tukamgeuka na kumchongea kuwa anampinga rais. Watanzania tusipobadilika na kuwa na misimamo imara kwenye mambo ya msingi, tutaendelea kuyumbishwa na kuendeshwa kama gari bovu kwenye mitaro.
 
Kwanini asiende kwa gharama zake?
1. Unajuaje kama si kwa gharama zake?
2. Katiba inasemaje juu ya matumizi ya hizo hela?
3. Ni sawa tu na kumuona mkurugenzi wa taasisi ya Serikali kutumia gari ya ST kuendea kanisani
 
Ficha ujinga wako na chuki zako kwa Rais wetu! Mbona Jiwe alifanya mambo mengi tu ya hovyo huko CHATU /CHATU na ulifyata mkia wako?!
Mambo aliyoyafanya dar es salaam utayalinganisha na ya chato? Kuweni realistic.
Mzee alikuwa anaenda chato muda mwingine kuinusuru roho yake maana huwezijua.....ila huyu wa zenji hata hafla ya kuangua Nazi anahudhuria.
 
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Kwa akili zake fupi anafikiri kuwa Zanzibar itaendelezwa kwa kupendelewa kwa kipindi chake cha miaka mitano au kumi.

Hajui ya kwamba masuala ya maendeleo ni masuala ya kisera yanayohitaji mawazo endelevu na yanayozingatia sheria,maono na maamuzi ya wananchi wa nchi nzima.
 
Tatizo ni sisi wenyewe, tuna undumilakuwili usiomithirika. Jusi Ndugai ameonyesha kutokubaliana na tabia ya nchi kuendekeza ukopajikopaji usio na maana, sisi hawa hawa tukamgeuka na kumchongea kuwa anampinga rais. Watanzania tusipobadilika na kuwa na misimamo imara kwenye mambo ya msingi, tutaendelea kuyumbishwa na kuendeshwa kama gari bovu kwenye mitaro.
Hili ndio tatizo kuu letu watanzania-undumila kuwili, kutokusimamia ukweli na kujipendeza kwa mabosi au wakubwa kwa kutowajosoa pale wanapokosea
 
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.

Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!

Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.

Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
Mcheza kwao hutunzwa...
 
Ameshajenga uwanja wa Ndege???? Au anaenda kutembea tuuu kama anavyoenda mwanza na shinyanga???
 
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.

Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!

Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.

Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
ndugu yangu naomba nikuulize kdogo, hivi magufuli alikuwa madarakani kwa miaka mingapi? Katika miaka hiyo unayoijua wewe, Magufuli kama raisi alifanya miradi mingi, hebu niambie ni miradi mingapi iliipeleka zanzibar? Labda nikusaidie kidogo, sufuri! Hapaja kuwepo na mradi hata mmoja wa serikali ya muungano wa tanzania chini ya Magufui ambao ulifanywa zanzibar, ilhali zanzibar (iwe kubwa au ndogo kuiko mikoa ya bara) ni upande wa nchi mbili za muungano! Unadhani ni kwa nini Magufuli hakupeleka hata mradi mmoja zanzibar? Tumeona mlivyonuna pale baada ya ndege zote kuletwa na Magufuli kubaki tanzania bara, Samia alipopeleka ndge mbili tu zanzibar mlilia kuoita kiasi!

To be honest pia ninashindwa kujua hata mradi mmoja wa serikali ya Tanzania chini ya kikwete ambao ulifanywa zanzibar.
 
Back
Top Bottom