Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Acha ujinga bro. Utakufa mdomo wazi.Ni Nchi nzima Mapori yanakatwa kwa kiwango ambacho hayawezi kurecover.
Serikali ya AWAMU ya 5 ilikata Miti Mil.2 aliyoipanda MUNGUKwahiyo sio ile miti imekatwa kule selou tena??
Una matatizo ya akili? Uzi mmoja una comment mara mbilimbiliMimi huwa napishana na mamia ya Pikipiki zimebeba magunia makubwa ya mikaa Pwani imebaki minazi tu na mipapai isiyochomwa mkaa.
Anakielewa sana kuliko wewe maana alikuwa anasimamia mazingira.Hivi huwa anaelewa anachokizungumza
People don't take actions. Zile pikipiki zinazoingiza mkaa kila siku mbona kama hakuna anayeona?Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti.
Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji.
Rais ameyasema hayo katika ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi ya kupikia
Naomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye uelewa na kinachoendelea hapa...je hapa analalamika, analaumu au anatoa utetezi?Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti.
Mto RuvuHili dongo lisije likawa linalenga ile miti milioni ngapi iliyokatwa kwa ajili ya mradi wa stiglaz..
Polisi na watu wa malvasia wanashindwa nini kuwadhibiti wanaovusha mkaa na pikipiki? Unakuta pikipiki moja imebeba gunnia sita kubwa, zikipita nne tayari ni nusu fusoRais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti.
Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji.
Rais ameyasema hayo katika ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi ya kupikia
Huna jema mkuu?Kwani uongo?Hivi huwa anaelewa anachokizungumza
Kodi ishushwe kwenye gesi
Mitungi itengenezwe Tz
Mkaa uongezewe kodi kutoka 12500 kwa gunia hadi 50000
Ukataji miti wa mikaa uwe na adhabu kali
Selous ni pwani hiyo maana asilimia kubwa ipo RufijiKwahiyo sio ile miti imekatwa kule selou tena??