Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

ukitafakari vizuri utagundua wewe ndio umeishiwa
Wala haina haja ya kutafakari vizuri. Huyo kashaishiwa maana hajitambui. Tena hatakiwa kukaa Dodoma siku mbili ni vile tu kuna mtu alichanganyikiwa kabla yake.
 
Magufuli alikuwa anakaa hata mwezi kule kwao. Mwanaume unaenda kwenu kila siku kama umeolewa bana.
 

Lile genge pendwa linajulikana kwa wingi wa mapovu. Hakuna jipya hapo!

Tambua miye kama wengine tumesikia mama akisema. Yumkini mlisali tusiwe tumesikia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Magogoni na chamwino ni rasmi hata tausi wanajua hivyo.

Kama ada tutaendelea kujifunza mengi mengine kazi inapoendelea.

Aliyosema mama yanahusu ziara za hapa nchini, za nje zinahusika vipi kama si kuweweseka kwenu?
 
Taja sheria inayosema Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa siku tatu mfululizo hapa wala usikimbie kivuli chako
 
Taja sheria inayosema Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa siku tatu mfululizo hapa wala usikimbie kivuli chako

Humjui aliyetamka hayo? Huijui taasisi iliyotamka hayo?

Your browser is not able to display this video.


Si mlituaminisha ile ofisi ni taasisi?

Hujui kuna mtu kayatamka hayo tena leo hii na sisi tunamnukuu tu kwa kupasua hiyo mbarika mliyokuwa mmetuaminisha vinginevyo?

Viva mama Samia Suluhu endelea kutujuza tuliyokuwa tumeingizwa cha kike!

Wewe ndiye mwenye ufahamu kuliko hao? Nenda kawaelimishe huko basi, vinginevyo ya kwako ni kelele za chura mwingine dimbwini tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Kila mkoa kuna Ikulu kacha kupotosha zenye hadhi sawa. Mwanza kuna Ikulu ya Rais iko pale Capri Point barabara ya Nasser karibu na Kamanga ferry kwa hiyo anaweza kufyanya kazi kutokea hapo hata kama kwa mwaka mzima..
Hizo ni Ikulu ndogo, ziko mikoa yote na hata wilayani. Ikulu kuu ni Chamwino Dodoma na Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam, hizi ndizo anakaa kwa muda wote siyo hizo ndogo za mikoa na wilaya.
 
ilikuwaje sasa mwendazake alikuwa anapiga kambi chato miezi bila kujali chochote,kwa maanna hiyo kumbe alikuwa mvunja taratibu na kanunni dah jamaa alikuwa anaogopwa hadi na chama chake

Hii nchi imechezewa sana! (Haya si maneno yangu.)
 
... nakubaliana na wewe. To be objective, wataalamu watuwekee sheria, kanuni, presidential decree, au chochote kile kinacho support kauli ya Mh. Rais. Otherwse, tutakuwa tunajadili kitu tusichokielewa simply Rais kasema! This is wrong!

Rais na taasisi nzima ya urais wapo.

Mama kasema walishauriana wote wakaona kuzidisha zaidi ya siku 3 ni kutoka nje ya misingi:

Your browser is not able to display this video.


Jinasibu kuwasiliana naye au taasisi yake kwa ufafanuzi.

Sisi wapenzi wake anapopasua mbarika kama hivi, kwetu ni burudani tu. Kazi na iendelee!

Habari ndiyo hiyo.
 
Kiswahili kabisa tunaojua tamaduni zetu, ukiondoka sehemu kuaga lazima uwe na excuse, huwezi kuaga tu ukaondoka bila excuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…