Point ni kwamba Ibilisi hadi kalaaniwa na Mungu na kajipa kazi ya kuwapotosha watu ila bado Mungu anamuweka hai hadi sasa hajamchoka.Miongon mwa maiblis wapo majin na binaadamu,so yule alielaaniwa alikuwa jini na hawa wengne ni watu
Pole sana mkuu,Wakuu leo nimetenguliwa mwenzenu hapo morogoro
Ikulu ya Dodoma haijakamilika. Mwendazake alikuwa anaishi Dodoma na Chato kiubishi. Mama Samia hataki mambo ya ubishi. Siyo tabia nzuriMuulize
Dar anakaa siku ngapi zaidi ya Dodoma makao makuu?
Huyo kaishaishiwa
Naam, mkuu. Biashara ziko nyingi. Ukiacha vyombo, unaweza kuuza ukwaju, ubuyu, mkaa, hata kuku na udongo wa kutafuna. Yaani utasahau kazi za kuteuliwa fastaTuuze vyombo tena
Ikulu ya Dodoma haijakamilika. Mwendazake alikuwa anaishi Dodoma na Chato kiubishi. Mama Samia hataki mambo ya ubishi. Siyo tabia nzuri
Mwendazake alikua anajifungia Chato hata mwezi mzima nakumbuka alimuapisha Mwigulu uani kwake pale Chato.
Mpaka sasa hakuna aliyethubutu kuvunja record ya Mwigulu kula kiapo cha uwaziri uani, tena kwenye viti vya Coca-Cola.
"Kutojua hujui" inamweleza Magu vizuri sanaKwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu, ubishi ni kujifanya mjuaji, kutojua hujui, kukosa busara, kutokuwa msikivu,kuwa na gubu, kutokufuata taratibu, kutumia sababu.
Makubwa!
Bahati mbaya unaandika ulivyo elewa badala ya alichomaanisha. Anaziara nchi nzima kwa mujibu wa ratiba za kazi sio sheria 🐕 wewe.Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.
Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.
Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino.
Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?
Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!
Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.
Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.
Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
Bahati mbaya unaandika ulivyo elewa badala ya alichomaanisha. Anaziara nchi nzima kwa mujibu wa ratiba za kazi sio sheria 🐕 wewe.
Kiswahili kabisa tunaojua tamaduni zetu, ukiondoka sehemu kuaga lazima uwe na excuse, huwezi kuaga tu ukaondoka bila excuse.
Na wewe hamnazo [emoji28]Muulize
Dar anakaa siku ngapi zaidi ya Dodoma makao makuu?
Huyo kaishaishiwa
Yule mjamaa alikuwa ana matatizo sana. Hata kuuza nyumba za serikali, waliofanya mipango waliziweka kimakakati, hawa jamaa wakauza, mpaka Mama Makinda akaenda kukaa uchochoroni huko Sinza.... Hivi ikitokea succession chain ingeingia in trouble, Mama Makinda si unapaki tu tractor kwenye kale kauchochoro kake.Huwezi kuniambia walioweka utaratibu walikosea mpka wewe uje useme kuwa popote inawezekana mmh!
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwendazake alikua anajifungia Chato hata mwezi mzima nakumbuka alimuapisha Mwigulu uani kwake pale Chato.
Mpaka sasa hakuna aliyethubutu kuvunja record ya Mwigulu kula kiapo cha uwaziri uani, tena kwenye viti vya Coca-Cola.
Yule mjamaa alikuwa ana matatizo sana. Hata kuuza nyumba za serikali, waliofanya mipango waliziweka kimakakati, hawa jamaa wakauza, mpaka Mama Makinda akaenda kukaa uchochoroni huko Sinza.... Hivi ikitokea succession chain ingeingia in trouble, Mama Makinda si unapaki tu tractor kwenye kale kauchochoro kake.
Taratibu lazima zifuatwe... hizi ofisi zina miundombinu na hazipo kwa bahati mbaya, Dar es Salaam kambi za jeshi kila kona, air and sea defense systems zipo. Huko Chattle hizi facilities zipo kweli? Au ndio walikuwa wanahama nazo.
Magufuli alikuwa anauguza Mama mzazi ifahamike hilo. NawasilishaMabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.
Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.
Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino:
View attachment 1819828
Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?
Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!
Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.
Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.
Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
Mbona sijasikia kwa mujibu wa sheria au mama kasau. Ni katiba ipi iliyo ainisha hilo?Kwa maelezo yake mwenyewe haya:
View attachment 1819830
pana mmoja baina yetu ni huyu bwana: 🐕!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Dar es salam ndio Tanzania ,N a Tanzania ni Dar es salam MwambaMuulize
Dar anakaa siku ngapi zaidi ya Dodoma makao makuu?
Huyo kaishaishiwa
Mbona sijasikia kwa mujibu wa sheria au mama kasau. Ni katiba ipi iliyo ainisha hilo?