Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ masikini mna gundu plus Corona
 
Ndio waliomfikisha hapo. Pia anatafuta kuungwa mkono.
 
Uko sahihi
 
Hawa
Rais Samia ni Rais wa Watanzania wote
 
Binaadamu tuna fanya makosa , kila siku ila hilo ni kosa kubwa mnooo
 
Kipindi cha JPM watajiri walikuwa wanapiga sana kelele. Masikini wakaunganaπŸ˜€. Kipindi hiki masikini wanapiga kelele matajiri(political elites) wanawakemea.
 
Ukweli ndio huo.
Kajenga ukuta mnene sana kati yake na wanyonge.
Uzuri ushahidi upo wa wale akina mama (si chini ya wawili) ambao walimlilia awasaidie, akawaambia wasaidizi wake wawanyamazishe eti "wanampigia kelele"!!
Kwa kweli Hayati JPM tutamkumbuka sana kwa mengi ikiwemo la kuwajali watu wa hali ya chini.
 
Nimeona Samia Yupo Mtwara,asisahau Katavi ,Songea, Rukwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…