Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Ndio waliomfikisha hapo. Pia anatafuta kuungwa mkono.
 
Waislamu na hata baadhi ya Wakristo wa Kiafrika wako hivyo hawaielewi falsafa ya Dini ndiyo maana Umaskini umetamalaki, wengi Waafrika wetu weusi huamini kabisa watu ambao hawakubahatika kuwa na mali masikini na fukara ni shida yao na makosa yao ndiyo yaliowafanya wawe masikini sasa mtu wa namna hiyo hawezi kutatua matatizo ya walio wengi …
Uko sahihi
 
Hawa
-Mwendazake alishusha mbaazi hadi sh 200 mama wa Watu kazirudisha mpaka sasa ni zaidi ya 2000, wakulima Wamefaidika wengi kuuza mazao kwa Bei nzuri na wengi tumeshuhudia.

-Kaongeza minimum wages zaidi ya Asilimia 20, minimum wages ni za masikini wanaopata mishahara ya laki 3.

-Kaongeza mishahara madaraja yote

-Budget ya Afya for the first Ever imekuwa doubled toka Trilioni 1 mpaka 2 Matajiri hii budget wala haiwahusu

-Kazunguka Nchi Zote Majirani mkawa mnamnanga humu sasa hivi Tz umejaa waongo, wazambia, Malawi na mataifa mengine ya majirani wanakuja kufungasha mizigo hapa, hadi machinga wanafaidika.

Ila yote haya hamuyaoni chuki zimewajaa, muogopeni Mungu siku mtakuja kusimamishwa mbele yake mtakuja kujibu yote haya.
Rais Samia ni Rais wa Watanzania wote
 
Binaadamu tuna fanya makosa , kila siku ila hilo ni kosa kubwa mnooo
 
Kipindi cha JPM watajiri walikuwa wanapiga sana kelele. Masikini wakaungana😀. Kipindi hiki masikini wanapiga kelele matajiri(political elites) wanawakemea.
 
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Ukweli ndio huo.
Kajenga ukuta mnene sana kati yake na wanyonge.
Uzuri ushahidi upo wa wale akina mama (si chini ya wawili) ambao walimlilia awasaidie, akawaambia wasaidizi wake wawanyamazishe eti "wanampigia kelele"!!
Kwa kweli Hayati JPM tutamkumbuka sana kwa mengi ikiwemo la kuwajali watu wa hali ya chini.
 
Nimeona Samia Yupo Mtwara,asisahau Katavi ,Songea, Rukwa pia.
 
Back
Top Bottom