Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya na serikali ya kanda haviepukiki, kwa hili namtetea li nchi likubwa sana hili, na ukizingatia amezungukwa na watu wa kumdanganya kila siku hawezi toboaRais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Nchi kubwa wakati kuna Ndege ya Rais,hapo Mtwara ni masaa mangapi kwa Ndege ?Katiba mpya na serikali ya kanda haviepukiki, kwa hili namtetea li nchi likubwa sana hili, na ukizingatia amezungukwa na watu wa kumdanganya kila siku hawezi toboa
Twende kama Kenya mkuu ,li inchi likubwa sana, katiba ni sasa ,japo anaita kijitabu,ametukosea sana unajuaNchi kubwa wakati kuna Ndege ya Rais,hapo Mtwara ni masaa mangapi kwa Ndege ?
Kama huwezi changia kampeni 2025 wewe sio rafiki na mama muuza.Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Kote ni kwake...Nimeona Samia Yupo Mtwara,asisahau Katavi ,Songea, Rukwa pia.
Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaaShule ambayo haina madawati hiyo kata ifutwe na wakazi wake wote wahamishiwe kata zingine wakajifunze kujitegemea siyo kuwa tegemezi tu.
Na hiyo shule ifanywe mabanda ya kuku chini ya BBT.
Yaani Mtanzania wa leo hii unakuja kulilia madawati mtandaoni? Wakati shule zingine wananchi wamewafungia mpaka viyoyozi ofisi za walimu. Wamejijengea mpaka maabara za kisasa wanafunzi wasome sayansi kwa vitendo, hawajangoja serikali.
Nyie mnaolilia ma desk mwaka huu mtakuwa wa kwanza kwa ujinga duniani.
Wewe kama kata yenu bado mnashida ya madeski ni heri mjinyonge tu.Q
Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Rais Samia hana mitazamo ya kimaskini ile ya kijamaa ya kutaka kumuumiza mtu mmoja ili mwingine apate furaha.-Mwendazake alishusha mbaazi hadi sh 200 mama wa Watu kazirudisha mpaka sasa ni zaidi ya 2000, wakulima Wamefaidika wengi kuuza mazao kwa Bei nzuri na wengi tumeshuhudia.
-Kaongeza minimum wages zaidi ya Asilimia 20, minimum wages ni za masikini wanaopata mishahara ya laki 3.
-Kaongeza mishahara madaraja yote
-Budget ya Afya for the first Ever imekuwa doubled toka Trilioni 1 mpaka 2 Matajiri hii budget wala haiwahusu
-Kazunguka Nchi Zote Majirani mkawa mnamnanga humu sasa hivi Tz umejaa waongo, wazambia, Malawi na mataifa mengine ya majirani wanakuja kufungasha mizigo hapa, hadi machinga wanafaidika.
Ila yote haya hamuyaoni chuki zimewajaa, muogopeni Mungu siku mtakuja kusimamishwa mbele yake mtakuja kujibu yote haya.
Tunamkumbuka mpigania haki za wanyonge RIPYule alikuwa wa masikini, huyu wa matajiri. Kila zama na kurasa zake.
Kizimkazi ZenjWewe kama kata yenu bado mnashida ya madeski ni heri mjinyonge tu.
Hata mkitoza.kodi kwenye vilabu vya Pombe ya mia mia tu kiingilio, ndani ya muda mchache mnapata ma desk.
Upo kata ipi, wilaya ipi, mkoa upi ambako hakuna madesk?
Umeandika pumba tupuRais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Magufuli mlimuita rais wa masikini, hizi akili za kipuuzi sana. Yaani umasikini ndio unaonekana kuwa ni ujanja!.Rais wa Matajiri na Machawa!
Hapa unataka kupotosha mkuuSio TZS, ilikuwa ni USD 1 MILLION
Labda wanataka kuuona msafara wake ukiwa unasimamasimama njiani ndio awe katimiza sifa ya kuwatetea wanyonge.Ukiachana na DP wedi Samia hana Baya mama wa watu.
Kuhusu katiba ni kweli tunahitaji elimu, viongozi washatuona mazwazwa as for years Katiba iliyopo imekuwa ikivunjwa hadharani na wananchi hakuna reaction yoyote tuliyoichukua.....Sasa Kama hii iliyopo hatuisimamii hiyo mpya ndo itajisimamia yenyewe?
Hana Baya Samia, maisha yangu kabla na baada yake yana tofauti kubwa....Huyu ndiye Rais wa wanyonge hasa.