Rais Samia ruhusu bidhaa za ujenzi toka nje, unatuua wananchi

Rais Samia ruhusu bidhaa za ujenzi toka nje, unatuua wananchi

Unahitaji PhD kujua ya kwamba Rais ambae siyo chaguo la wananchi na ambae hana kibali cha wananchi hawezi kuhangaika na matatizo ya wananchi?

Hayo unayopitia ndiyo gharama ya kuruhusu vibaka kupora chaguzi na kuchukua dola.
 
Naunga mkono hoja. Japo kwenye mambo ya ujenzi mabati, nondo na vitu vingine vingi mdhamini wetu wa ligi ameingia nankujikita sana huko GSM.

Na huyu anajulikana kwa tricks yaweza ana mchango wa ku manipulate price hiking.
 
hama nchi
Unaepaswa kuhama nchi ni wewe unaelalamika kuwa bidhaa zinapanda bei.

Mtindo wa hawa vibaka waliopora chaguzi ni kuwapiga nyuma na mbele(umeme,maji,bidhaa kupanda bei na kadhalika).Lazima uwe mtamu kotekote taka usitake.
 
Hama nchi wewe unaelalamika kuwa bidhaa zinapanda bei.

Mtindo wa Mama ni kuwapiga nyuma na mbele(umeme,maji,bidhaa kupanda bei na kadhalika).Lazima uwe mtamu kotekote taka usitake.
Hamia chato kule maisha nafuu
 
Tetetete hakuna la maana anafanya zaidi ya kuzunguka zunguka, angali bidhaa zinapaa kwenda juu hana la kufanya zaidi ya vijembe kama muimba taarabu
Afadhali ya huyu kuliko yule dikteta mdhulumu haki za watu za kuishi, liminya Uhuru wa watu wakujieleza,

Utaki usitake Samia ndio Rais wako hadi 2030, Nuna,gawa masaburi yako kwa hasira,tukana, huna jeuli ya kufanya lolote kwenye hii Nchi dada angu,

Mpuuzi wewe!
 
Huwa ninashindwa kuelewa hii dhana ya kuzuia bidhaa kutoka nje kwa kulinda viwanda vya ndani wakati viwanda hivyo vinatoa bidhaa kwanza zenye ubora hafifu pili kwa bei juu na kuwaumiza wananchi au ndio kwa kuwa viwanda hivyo ni vya wakubwa na makada wa chama na serikali wananufaika navyo!?
Itakuwa ni viwanda vya watu wazito maana mbona bidhaa zinazozalishwa na watu wa chini bidhaa za nje zinaruhusiwa zije kushindana na kwenda na fashion mpya mfano furniture, nguo na tubidhaa tudogotudogo ila vile watu wanavichukulia kama vya lazima kama nyumba na lazima mtu awe na makazi ndo unaona hawataki ushindani, mpaka sukari inayotumika kwa wingi hivyo hivyo hapo Zanzibar wananunua 2000 huku 3000 nenda Zambia 1800 kwa kilo.
 
Afadhali ya huyu kuliko yule dikteta mdhulumu haki za watu za kuishi, liminya Uhuru wa watu wakujieleza,

Utaki usitake Samia ndio Rais wako hadi 2030, Nuna,gawa masaburi yako kwa hasira,tukana, huna jeuli ya kufanya lolote kwenye hii Nchi dada angu,

Mpuuzi wewe!
Dingi ako
 
Mh. Rais ongea na wafanyabiashara wa ndani washushe bei ya bidhaa za ujenzi hasa bati kama wataleta visingizio "nonesense" Ruhusu bidhaa hizi zitoke nje kwa wingi ili tupate unafuu wa bei wananchi wako.

Kwanini Serikali yako inataka kishindwa kila kitu mama. Hivi hilo baraza linakusaidia nini? Kama limeshindwa kukusaidia achana nalo libaki kama mwanasesele tu. Ikikupendeza tafuta hata wazungu huko nje wakushauri mambo nyeti hasa yahusuyo Fedha na biashara kwa ujumla.

Serikali yako imekwama mama yangu. Kagame anawatumia wazungu kwenye mambo magumu ambayo mwafrika wa kawaida aliyekulia Kanyenye akasoma chuo kikuu Dar es Salaam, Saut nk hawezi kuyatatua zaidi ya kukariri upumbavu kichwani.

Ruhusu uingizwaji wa bidhaa hizo tajwa bila kujali kelele za kuua viwanda vya ndani ambavyo vimeshindwa kumsaidia Mtanzania

Wananchi wakijenga nyumba bora ni sifa kwako mama.
Zamani wakati Dunia haina mawasiliano anuwai mtu akiandika kitu kama hiki usingemshangaa.

Leo Dunia iko kiganjani kwa kila mtu.

Taarifa zote za Dunia ziko wazi kabisa.

Halafu kwa ville tu mtu amejisikia kuandika basi anajiandikia tu.

Kwanza kabisa bidhaa nyingi Duniani zimepaa bei kwa sababu ya Mvurugano uliosababishwa na Covid.

Usafiri wa anga na Majini umekuwa mwiba mkali.

Freight kwa container(40ft) sasa ni Kati ta 8000USD mpk 11000USD-kutoka wastani wa 2500-3500USD.

Viwanda vya hapa nyumbani havitumii malighafi ya hapa kwa asikimia 100 Bali baadhi ya Raw Material zinaagizwa kutoka nje...

Hilo pamoja na mengi kama hayo yanasababisha bei za bidhaa kupanda.

Lakini Umeme kukatikakatika nako kuna Athari kubwa sana Kwenye Uzalishaji wa Viwandani.

Lakini hata huko Nje nako bidhaa zimepanda sana kulingana na Nature ya Bidhaa.

So ikiwa unatoa ushauri kwa Serikali ebu tutoe na Contrasts za kile unachotaka kiwe kwa Data.

Mfano uongee bei ya Bati kwa sasa kwa hapa nyumbani na iyo unayotoa nje.

Kisha tuifanyia mjadala.

Viwanda vya ndani visipolindwa kwa nguvu zote na Serikali maaana yake tunasababisha Tatizo la Ajira na Kodi kuwa BALAA kubwa sana.

UMEME.

KODI MIZIGO KWA BAADHI YA WAZALISHAJI.

FINANCING STRATEGY kwa Viwanda.

KUSIKILIZANA BAINA YA SERIKALI NA WAZALISHAJI KWA MAANA YA KUPANGA KWA PAMOJA*Wizara ya Fedha ...TRA....

Hizo ndiyo hatua muhimu kuchukuliwa na Serikali dhidi ya Wazalishaji wake wa Ndani.

Industialization yafaa kuwa ni mpango mkakati baina ya wadau hawa wawili...kwa Masilahi mapana....

Etc

Etc
 
Angekuwa na yeye anakutana na ugumu wa maisha kama tulio nao sisi mambo yangekuwa mazuri sn, sasa hivi yeye ni kuagiza tu, ifike sehemu watawala wasihudumiwe na serikali wahudumiwe na mishahara yao kama wafanyakazi wengine nao wasikie machungu kama sisi.
Kwani maisha yenu bado magumu,? Si aliekuwa anasababisha maisha yenu kuwa magumu si alikufa na mkashangilia sana?
 
Zamani wakati Dunia haina mawasiliano anuwai mtu akiandika kitu kama hiki usingemshangaa.

Leo Dunia iko kiganjani kwa kila mtu.

Taarifa zote za Dunia ziko wazi kabisa.

Halafu kwa ville tu mtu amejisikia kuandika basi anajiandikia tu.

Kwanza kabisa bidhaa nyingi Duniani zimepaa bei kwa sababu ya Mvurugano uliosababishwa na Covid.

Usafiri wa anga na Majini umekuwa mwiba mkali.

Freight kwa container(40ft) sasa ni Kati ta 8000USD mpk 11000USD-kutoka wastani wa 2500-3500USD.

Viwanda vya hapa nyumbani havitumii malighafi ya hapa kwa asikimia 100 Bali baadhi ya Raw Material zinaagizwa kutoka nje...

Hilo pamoja na mengi kama hayo yanasababisha bei za bidhaa kupanda.

Lakini Umeme kukatikakatika nako kuna Athari kubwa sana Kwenye Uzalishaji wa Viwandani.

Lakini hata huko Nje nako bidhaa zimepanda sana kulingana na Nature ya Bidhaa.

So ikiwa unatoa ushauri kwa Serikali ebu tutoe na Contrasts za kile unachotaka kiwe kwa Data.

Mfano uongee bei ya Bati kwa sasa kwa hapa nyumbani na iyo unayotoa nje.

Kisha tuifanyia mjadala.

Viwanda vya ndani visipolindwa kwa nguvu zote na Serikali maaana yake tunasababisha Tatizo la Ajira na Kodi kuwa BALAA kubwa sana.

UMEME.

KODI MIZIGO KWA BAADHI YA WAZALISHAJI.

FINANCING STRATEGY kwa Viwanda.

KUSIKILIZANA BAINA YA SERIKALI NA WAZALISHAJI KWA MAANA YA KUPANGA KWA PAMOJA*Wizara ya Fedha ...TRA....

Hizo ndiyo hatua muhimu kuchukuliwa na Serikali dhidi ya Wazalishaji wake wa Ndani.

Industialization yafaa kuwa ni mpango mkakati baina ya wadau hawa wawili...kwa Masilahi mapana....

Etc

Etc
Rais ameshasema analinda walaji, nyie wazalishaji wa bidhaa za ndani mmeshindwa kuzalisha bidhaa zakuwatosha wananchi, acha pengo lizibwe kwa kuagiza nje, cement toka Kenya tu Hadi inaingia sokoni ni Tsh 12000/= tu
 
Nondo za ndani(12mm) kwa sasa ni 2,350,000 TSH kwa tani, nondo za nje ni 2,550,000 TSH kwa tani moja..hiyo ni bei ya jumla.

Chukua 2,350,000÷94= 25,000 kwa bei ya jumla, rejareja hadi 27,000. Hiyo ni nondo ya mhindi-mtanzania.
 
Back
Top Bottom