Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

Tulichelewq sana.mama kanyaga twendeeeeee. Hata sisi bawicha ndio nasemajee tumechelewaa
 
Mtangulizi alikuwa makini ..
Kufanya nae kazi ilihitaji ujiulize mara kadhaa kabla ya kufanya lolote!!!
Kwa sasa ule umakini haupo tena... mifumo ya uwajibikaji imelegea.. uadilifu uliokuwepo umetokomea.
 
Hata hasimu wake mkubwa Tundu Lisu anakili wazi kuwa JPM hakuwa na hizo tabia za wizi ndio maana anaaminiwa hakutuingiza kwenye majanga.
Hata angekuwa hai na kuingia mkataba wa DP hakuna ambaye angeinua mdomo wake na kuanza kumlaumu, kwanza hakuna ambaye angejua nini kinaendelea.

Tulisaini mkataba wa bomba la mafuta la Uganda/Tanzania nani aliwahi kuona huo mkataba zaidi ya viongozi wa serikali mbili?.

Rais Samia anapigwa vita na watu wa karibu sana na ofisi yake na naiona safari yake ya kuelekea 2025 ikiwa na ugumu kuliko anavyodhani yeye mwenyewe.
 
Kunautofauti pia, hao wenzetu jengo limewaka bendera zao tu kuonesha uzarendo wao sisi ilikuwa lilionesha picha ipi?
Nilimshangaa sana Jana, Yan suala la Bendera kwenye jengo la wadubai, yeye anaona ni habari kubwa.


Ama hakika, Dikteta mwenye akili ni Bora kuliko mwanademokrasia Kilaza.
 
Kosa kubwa sana, ni kutawaliwa na mtu mwenye Uwezo Mdogo ,mwenye demokrasia ya mambo mepesi mepesi!!.

Kiongozi unafurahia Bendera kupeperushwa jengo la wadubai?? are you serious?

Yaan Bendera kupeperushwa pale, ndio habari ya kuongea mbele ya vyombo vya habari na vyombo vya Usalama kama taarifa Kwa wananchi??.

Mbona JPM hakuangaika kujitangaza, ila kazi zake zilizotukuka zilimtangaza ?.

Bendera? Bendera hiii kwamba hata royo tuwa haijasaidia kitu?.

Baba Mwenyezi Mungu, Lirehem hili Taifa !!.
 
Ondoa utoto wako. Naona huna akili kabisa. Rais Dkt Samia alichokisema pale wengi hamjamuelewa hasa ninyi wenye chuki. Alitolea mfano halafu mmedakia. Acheni rais wetu afanye kazi.
 
Hivi suala la kuuza ni Tanzania ndio imeuza au serikali tawala? Naomba elimu juu ya hili...
 
Ondoa utoto wako. Naona huna akili kabisa. Rais Dkt Samia alichokisema pale wengi hamjamuelewa hasa ninyi wenye chuki. Alitolea mfano halafu mmedakia. Acheni rais wetu afanye kazi.
Ukiona mtu anajiita Chawa maana yake kichwan kajaza matope .


Yaan Unatumia mfano kama ule kutulia mkazo Hisia zake ??.


Hiyo ni Akili au matope??.
 
Unajua kuwa JPM alisusiwa na mataifa makubwa alikuwa anaendesha nchi kiubishi tu?.

Huwezi kumlazimisha Samia awe na mtazamo sawa na JPM, haiwezi kutokea suala hilo.

Ujumbe ni kwamba mlimtuhumu kuuza nchi kwa waarabu wajomba zake lakini Kenya na wao wapo karibu na hao hao waarabu, ndio hoja husika hapo.

Mnatumhumu kukimbili uarabu wa wajomba zake wakati Rwanda na Congo na wao wameshasaini nao mikataba pengine kwa terms hizi hizi tunazozipinga sisi.

Tunaendekeza sana siasa tukisahau kuwa hayati JPM alijenga SGR kwa matrilioni ya pesa, usishangae kwa viongozi wa juu kuutafuta mzigo kwa udi na uvumba, ni kwa faida yako na yangu mimi.
 
Mama mswahili huyu.
Analeta mipasho kwenye mambo serious

Huku bandari gani moja anayoongelea?
Inaonekana alitoa ruhusa ya bandari moja tu wajanja wamekabidhi zote.
Hajui mkataba huyu
Wewe ndio hujui unaandika nini. Mkataba umeilenga TPA, kumbuka maneno WILL na SHALL yanapotumika humaanisha maana mbili tofauti.
 
Who's is fu.ckin.g johar in this country!?Wasomi wote waupinge then tuwapuuziie , halafu ndio tumsikilize mjinga mjoja sujui anaitwa johari!?
Wanasogea hatua mbele kutoka kwenye majadiliano na sasa inakwenda kuandikwa mikataba ya utekelezaji.

Pingapinga na hasira zenu mnaishia humu humu JF huko mtaani huwa mikia inarudi tumboni kama mbwa koko.
 
Hivi huyu bimkubwa bado tu hajajua kuwa sisi watanzania tunahitaji sana hao wawekezeji kuliko anavyo fikiri shida yetu ni kuweka wazi mkataba una hitaji nni na hatuhitaji nni mambo yote yakiwa bayana mbona hatuna shida ........ mbona mlimani city inaendeshwa na secta binafsi na maisha yanaendelea wanacho ficha ni nni
 
Azunghumzie yaliyomo kwenye mkataba! Je ameshauona huo mkataba wa majirani? Hatukatai uwekezaji, tunakataa mkataba wa wizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…