Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Ambao hao raia wameshindwa kusimamia viongozi waendeshe vizuri bandari? Ila Wataweza kuwasimamia viongozi watapokua na hao wawekezaji?Ni jukumu la raia kusimamia viongozi iliyowachagua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao hao raia wameshindwa kusimamia viongozi waendeshe vizuri bandari? Ila Wataweza kuwasimamia viongozi watapokua na hao wawekezaji?Ni jukumu la raia kusimamia viongozi iliyowachagua.
Umeona madereva wangapi wa bodaboda Wakizungu au Wahindi.Mnajitahidi Sana kupotosha lkn hamtazuia chochote, kununua ndege serikali na kuweka kampuni izisimamie haimanishi imekuwa Mali ya aliyepewa kusimamia, we umenunua boda ukampa dere Kwa siku alete elf10 service za pikipik juu yake hiyo haimanishi kuwa pikipik sio yako tena!!
Kama imeshindikana kusimamia 'vibarua' vp hao wababe?Kama ni usimamizi, watawezaje kuwasimamia hao wawekezaji ili waweze kupata Kodi zao stahiki?
Kwa mfano private company yenye CV za Kusimamia ndege kimataifa ya kibongo ni ipi tuikabidhi ndege za serikali?Umeona madereva wangapi wa bodaboda Wakizungu au Wahindi.
Tatizo langu sio Ubinafsishaji! Tatizo langu Ubinasfishaji unafanyika kwa wawekezaji wa Nje tu?
Unajua historia ya Private Sector? Unaelewa falsafa inayoongoza lugha hiyo? Niambie, na usimumunye
Private Sector ndio kina nani?
FDI ndio kina nani?
Wawekezaji ndio kina nani?
King Nkondo kama nakuelewa Kwa kiasi fulaniUlizeni maswali ya maana nyie maandazi, Zanzibar ni kisiwa kidogo kinachozidiwa na wilaya moja ya misungwi bandari iliyonayo inajitosheleza mahitaji. Bandari za bara ni zinategemewa na nchi takribani 18 ambazo ni locked land so ni lazima zipanuliwe na zisimamiwe na watu wanaojitambua sio majizi yanayowaza matumbo Yao badala ya ufanisi.
DP World ni kampuni ya Serikali ya Dubai.Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
“Sekta binafsi ndio itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara lakini Sekta binafsi inafanya biashara, wajibu wetu kama Serikali ni kutengeneza mazingira bora ambayo yataleta chachu katika ufanyaji biashara na uwekezaji ili uchumi wetu ukue zaidi”
“Lakini tunavyofanya hivyo tunatanua msingi wa kukusanya kodi kwa upande wa Serikali kwahiyo tukazifanyie kazi kero zote ili tusukume utendaji mzuri wa biashara na uwekezaji nchini”
Alisema Rais Samia
Tangu lini mwanamke akashika nyadhifa kubwa hivyo kisha mambo yakaenda vizuri? Ndiomaana hata dini ya kiislamu ilionya sana juu ya hili.Uwezo wa wanawake kwakweli ni wa kuutafakari
Jibu maswali yangu kwanza.....or retract kauli yako kuwa nimepotosha tafadhaliKwa mfano private company yenye CV za Kusimamia ndege kimataifa ya kibongo ni ipi tuikabidhi ndege za serikali?
Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
Leo nimeona amefura. Hasa ,secta binafsi ni wspi imefanya vizuri kwa Tanzania ndo atupe mfano ,au yeye amekaririshwa neno sect binafsi .kwa nini hiyo ikulu asikabizi sect binafsi ili tuanze nayoAisee, umeuliza swali zuri sana. Kwanini tuingie gharama za kununa ndege kama azma ya serikali ni kuwagawia Sekta binafsi? Kwanini wasiwaachie hao sekta binafsi wao ndie wanunue hizo ndege. Kwanini tutumie fedha za umma na kodi ya mwananchi???
Huyu SSH ameanza kufura-hakika sikuwa nimefanya makosa kusema baada ya ziara yao uarabuni akiwa na Shaka H Shaka(CCM) kuwa, kulikuwa na marobota ya kutosheleza nguvu za CCM kiuchaguzi....
Safari hii, Uchaguzi haununuliki?
CCM must go!
Ungekuwa Rais wewe, Kama tatizo ni uwezo.Uwezo mdogo.
Samia anaota anadhani sect binafsi ni mmujiza kwenye weak admissions kama yeye .atasubiri sana mkapa alifanya huvyo hivyo kwa kisingizio serikali haifanyi buashara kikowapi sasaMkapa alifanya haya tukaangukia pua. Huyu mama anarudi kulekulealikopita nkapa
Teh teh teh 😂 😂 akili za wabongo bhana teh teh 😂😂Jamaa yupo sawa, Unapigwa dole la matako katika mazingira gani? Hii mifano mingine tuachane nayo tu. Tunaweza kupinga kuuzwa kwa bandari bila kuhusisha matako, makalio.
Kajifunze kuandika weka vituo,koma ,herufi kubwa .Yaani nimesikia kinyaa kusoma bandiko lako.Hakuna mtu anae uzabandari jamani mbona habari za kusikia juuu juu mnazipa kipaombele pasina kufanya utafuti alf masuala ya bandari ni vyema ukauliza wataalamu wa bandari so tuna kaa akitokea mwanasiasa mmoja anaetafuta jambo la kutrendia akilipata basi hata kama litahalibu mitazamo ya watu kwa serikali bas yeye hajali.
Ni vyema kufatilia kuhusu hao watu tunataka kuingia ubia nao ni kampuni kubwa tu inayo operate bandari zaid ya ishirini baadhi ya hizo bandari nyengine zipo europe ambazo hata mapato yake hatuyakutii
na watanzania wengi wanaongelea sana kuhusu udini yan hapa inaonesha kiasi nyinyi ndo mna udini hao watu wa dubai asilimia kubwa wanafanya kazi na dini ukiangalia bandari nyingi wanazozienda hazipo urabuni kwa iyo swala udini hapan tuliache jamani tuangalie faida tutakazo pata.
Kwahiyo walichofanya kwa DP ni nini? Wamekodisha? Kwa miaka mingapi?Huo mkataba kuwa bandari imeuzwa uko wapi?
Wewe unaerusha tuhuma ndiyo useme, uongi useme wewe halafu uniukize mimi?Kwahiyo walichofanya kwa DP ni nini? Wamekodisha? Kwa miaka mingapi?
Wewe unaerusha tuhuma ndiyo useme, uongi useme wewe halafu uniukize mimi?
Mimi nakwambia, tutegemee haya Dar Port👇🏾