SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Aisee, umeuliza swali zuri sana. Kwanini tuingie gharama za kununa ndege kama azma ya serikali ni kuwagawia Sekta binafsi? Kwanini wasiwaachie hao sekta binafsi wao ndie wanunue hizo ndege. Kwanini tutumie fedha za umma na kodi ya mwananchi???Kwani NDEGE ANAZO NUNUA NA ZA NANI? Tuanzie hapo kwanza
Huyu SSH ameanza kufura-hakika sikuwa nimefanya makosa kusema baada ya ziara yao uarabuni akiwa na Shaka H Shaka(CCM) kuwa, kulikuwa na marobota ya kutosheleza nguvu za CCM kiuchaguzi....
Safari hii, Uchaguzi haununuliki?
CCM must go!