Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kauza kwa nani? Shs ngapi? Akukome wewe na nani?Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauza kwa nani? Shs ngapi? Akukome wewe na nani?Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
Thubutu hizo ni za home tunauza za watanganyika wasiojielewaUza bandari za Zanzibar
Safari hii mmekwisha Watumishi, afadhali Mwendazake alikua anawa tumbua bado mkamuona ni Dikteta! Sasa huyu Mama yeye hata hawawatumbui, yeye anawauuza kabisa mtajuwana na Muwekezaji Kama ataendelea na nyinyi au atawatupa Nje na kuleta watu wake wanaoweza kufanya kazi kwa uffanisi Mkubwa!!Muombe mwarabu ajenge bandari ndogo Gezaulole
Tazama vizuri kila kilichofichwa gizani kitaonekana hadharaniEhee
Ova
Nilikuwa mtoto,ila ninakumbuka mama zangu kuwasikia wakisema Tanesco ilibinafisishwa kwa wasouth.Sasa sijui kilitokea nini ikarudi kwa serikali.Ila nadhani mikataba ilikuwa ina masharti ya kuvunjika kirahisi.Ni kweli, bado tunakumbuka UBINASFSISHAJI ULIOFANYWA NA MKAPA 1995
Aisee......Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
“Sekta binafsi ndio itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara lakini Sekta binafsi inafanya biashara, wajibu wetu kama Serikali ni kutengeneza mazingira bora ambayo yataleta chachu katika ufanyaji biashara na uwekezaji ili uchumi wetu ukue zaidi”
“Lakini tunavyofanya hivyo tunatanua msingi wa kukusanya kodi kwa upande wa Serikali kwahiyo tukazifanyie kazi kero zote ili tusukume utendaji mzuri wa biashara na uwekezaji nchini”
Alisema Rais Samia
Himaya ya Mwendazake ni himaya ya kifedhuli mno afadhali hata mkaburu. Mkoloni Mwarabu hata Firauni kuliko yule mtesaji mkumbwa mungu ni mwema wakati woteSafari hii mmekwisha Watumishi, afadhali Mwendazake alikua anawa tumbua bado mkamuona ni Dikteta! Sasa huyu Mama yeye hata hawawatumbui, yeye anawauuza kabisa mtajuwana na Muwekezaji Kama ataendelea na nyinyi au atawatupa Nje na kuleta watu wake wanaoweza kufanya kazi kwa uffanisi Mkubwa!!
Serikali haiwezi kusema imeajiri wezi kwani kitakuwa kicheko aliekuwa anawasmbia ni wezi alikuwa Mwendazake.Ndio sababu zinatolewa na serikali kuwa kuoikua hakuna ufanisi, hivyo wanaongeza ufanisi. Ufanisi ulikua hakuna sababu Kama hizo za uzembe, rushwa
Iko wapi hiyo bandari iliyouzwa?Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
Mkataba unasema nini?Akili yako kama ya Samia, unadhani muhimu ni kutoa kila kitu kwa sekta binafsi bila hata kuangalia mkataba unaoingia nao unasema nini!.
Ushasema "nchi zilizoendelea*", wewe Tanzania ndiyo kwanza nchi ambayo hauwezi kukidhi hata bajeti yako, mtaji uutoe wapi?Napingana na hii kauli, Serikali za nchi zilizoendelea zinafanya biashara . USA imewapa CIA kibali cha kufanya mpka illegally businesses like cocaine e.t.c sembuse sisi walala hoi
Serikali haiwezi kusema imeajiri wezi kwani kitakuwa kicheko aliekuwa anawasmbia ni wezi alikuwa MwendazakeNdio sababu zinatolewa na serikali kuwa kuoikua hakuna ufanisi, hivyo wanaongeza ufanisi. Ufanisi ulikua hakuna sababu Kama hizo za uzembe, rushwa
Kama ni usimamizi, watawezaje kuwasimamia hao wawekezaji ili waweze kupata Kodi zao stahiki?Hili linatokana na udhaifu wa usimamizi wa watawala.
Aisee nani kasema hii??Napingana na hii kauli, Serikali za nchi zilizoendelea zinafanya biashara . USA imewapa CIA kibali cha kufanya mpka illegally businesses like cocaine e.t.c sembuse sisi walala hoi
Doesn't matter, tukiamua tunaweza .Ushasema "nchi zilizoendekea*", wewe Tanzania ndiyo kwanza nchi ambayo hauwezi kukidhi hata bajeti yako, mtaji uutoe wapi?
Unafahamu maana ya PPP?
Yupo superficial sana huyu Rais. Maneno yake anavyoyatamka hayana uzito kabisa na hata body language yake inaonyesha she doesn’t mean what she’s saying. Anaangalia chini muda mwingi.Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
“Sekta binafsi ndio itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara lakini Sekta binafsi inafanya biashara, wajibu wetu kama Serikali ni kutengeneza mazingira bora ambayo yataleta chachu katika ufanyaji biashara na uwekezaji ili uchumi wetu ukue zaidi”
“Lakini tunavyofanya hivyo tunatanua msingi wa kukusanya kodi kwa upande wa Serikali kwahiyo tukazifanyie kazi kero zote ili tusukume utendaji mzuri wa biashara na uwekezaji nchini”
Alisema Rais Samia