Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Serikali ya Emirates inafanya biashara ktk mfumo wa kibinafsi, na wanajielewa, watz mashirika ya kibiashara yote mmeua na bado mnangangania kuyaendesha ili muendelee kuiba na kutafuna jasho la watz majizi makubwa nyie.
Sasa ndio uchukue tu uwape sekta binafsi bila kuangalia kama mkataba una maslahi kwa taifa.
 
Kati ya watanzania milioni 60+ huyu ndio anatuongoza!!! Haya sasa.
 
Back
Top Bottom