Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Ni jukumu la raia kusimamia viongozi iliyowachagua.
Ambao hao raia wameshindwa kusimamia viongozi waendeshe vizuri bandari? Ila Wataweza kuwasimamia viongozi watapokua na hao wawekezaji?
 
Umeona madereva wangapi wa bodaboda Wakizungu au Wahindi.

Tatizo langu sio Ubinafsishaji! Tatizo langu Ubinasfishaji unafanyika kwa wawekezaji wa Nje tu?

Unajua historia ya Private Sector? Unaelewa falsafa inayoongoza lugha hiyo? Niambie, na usimumunye

Private Sector ndio kina nani?

FDI ndio kina nani?

Wawekezaji ndio kina nani?
 
Binafsi sijawahi elewa anything amefanya huyu mama tangu aingie madarakani,sijawahi

siwezi komalia hili la bandari tu ila kwa ujumla tangu aingie mi naona anavurunda tu,huu n mwendelezo

nategemea mivurundo mingine mbeleni,yani sioni akija perform vizuri hata huko mbeleni,Kama loss tumepata.
 
Kwa mfano private company yenye CV za Kusimamia ndege kimataifa ya kibongo ni ipi tuikabidhi ndege za serikali?
 
King Nkondo kama nakuelewa Kwa kiasi fulani
 
DP World ni kampuni ya Serikali ya Dubai.
 
Uwezo wa wanawake kwakweli ni wa kuutafakari
Tangu lini mwanamke akashika nyadhifa kubwa hivyo kisha mambo yakaenda vizuri? Ndiomaana hata dini ya kiislamu ilionya sana juu ya hili.

Mtu atoke kuwa msambaza chai kwenye maofisi hadi aje kuwa mkuu wa nchi? Fvck.
 
Kwa mfano private company yenye CV za Kusimamia ndege kimataifa ya kibongo ni ipi tuikabidhi ndege za serikali?
Jibu maswali yangu kwanza.....or retract kauli yako kuwa nimepotosha tafadhali

Hoja kwa hoja, ushahidi kwa ushahidi....tete a tete!
 
Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?

Hakuna mtu anae uzabandari jamani mbona habari za kusikia juuu juu mnazipa kipaombele pasina kufanya utafuti alf masuala ya bandari ni vyema ukauliza wataalamu wa bandari so tuna kaa akitokea mwanasiasa mmoja anaetafuta jambo la kutrendia akilipata basi hata kama litahalibu mitazamo ya watu kwa serikali bas yeye hajali.

Ni vyema kufatilia kuhusu hao watu tunataka kuingia ubia nao ni kampuni kubwa tu inayo operate bandari zaid ya ishirini baadhi ya hizo bandari nyengine zipo europe ambazo hata mapato yake hatuyakutii
na watanzania wengi wanaongelea sana kuhusu udini yan hapa inaonesha kiasi nyinyi ndo mna udini hao watu wa dubai asilimia kubwa wanafanya kazi na dini ukiangalia bandari nyingi wanazozienda hazipo urabuni kwa iyo swala udini hapan tuliache jamani tuangalie faida tutakazo pata.
 
Leo nimeona amefura. Hasa ,secta binafsi ni wspi imefanya vizuri kwa Tanzania ndo atupe mfano ,au yeye amekaririshwa neno sect binafsi .kwa nini hiyo ikulu asikabizi sect binafsi ili tuanze nayo
 
Mkapa alifanya haya tukaangukia pua. Huyu mama anarudi kulekulealikopita nkapa
Samia anaota anadhani sect binafsi ni mmujiza kwenye weak admissions kama yeye .atasubiri sana mkapa alifanya huvyo hivyo kwa kisingizio serikali haifanyi buashara kikowapi sasa
 
Jamaa yupo sawa, Unapigwa dole la matako katika mazingira gani? Hii mifano mingine tuachane nayo tu. Tunaweza kupinga kuuzwa kwa bandari bila kuhusisha matako, makalio.
Teh teh teh ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ akili za wabongo bhana teh teh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kajifunze kuandika weka vituo,koma ,herufi kubwa .Yaani nimesikia kinyaa kusoma bandiko lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ