voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Kwa hiyo ndio auze bandari yetu?Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
Safari yake kisiasa itamalizika vibaya sana!
Watu wana donge nae ila tu hajijui!