Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Usijidanganye, Wazalendo ndani ya vyombo kwa kushirikiana na umma wenye ghadhabu ukiamua unamchomoa tu. Tena anachomoka hivihivi huku akilia machozi
Wazalendo gani hao wapuuzi wanaweza kumuondoa mtu anayeweka nchi ktk msitari mnyoofu? Gadhabu za majizi yaliyodumaza bandari ndo watauzidi umma nguvu? Never happen hii nchi iko ktk mikono salama ya Samia hakuna atakayeweza kumtetelesha mama!
 
Serikali ya Emirates inafanya biashara ktk mfumo wa kibinafsi, na wanajielewa, watz mashirika ya kibiashara yote mmeua na bado mnangangania kuyaendesha ili muendelee kuiba na kutafuna jasho la watz majizi makubwa nyie.
Mfumo wa kibinafsi ndio upi as long as inamilikiwa na Serikali ni Kampuni ya Serikali.
Mashirika hayo mengi yalibinafsishwa kwa wawekezaji wa nje na sio ndani-acha kupotosha,na mengi yamekufa.
 
Kwahiyo mizigo ya kongo ni asilimia ngapi inapita hapo ziwani? , haya na bandari za maziwa ya Chato, Kondoa na Kwingineko, zinahudumia watu wa ngapi, na ya Zenji ni watu wangapi?
Akili yako umetyuni kukataa mema hata nihubirije siwezi kukuokoa from that slave empire, haya hiyo Tanganyika hata kama inahudumia asilimia moja sa ndio mama anakaribisha investors waje waboreshe tuongee ufanisi.
 
Ulizeni maswali ya maana nyie maandazi, Zanzibar ni kisiwa kidogo kinachozidiwa na wilaya moja ya misungwi bandari iliyonayo inajitosheleza mahitaji. Bandari za bara ni zinategemewa na nchi takribani 18 ambazo ni locked land so ni lazima zipanuliwe na zisimamiwe na watu wanaojitambua sio majizi yanayowaza matumbo Yao badala ya ufanisi.
Serikali yenye maliasili lukuki inashindwa nini kutumia rasilimali zake kutafuta fedha kisha ikazitumia kuendeleza hiyo bandari???,kwani hao UAE walitoa wapi fedha mpaka wakaanzisha hizo kampuni si walitumia rasilimali zao.
Mkuu kuwa mwangalifu na arguments zako usidhani huku una argue na wanafunzi wa kidato cha 6.
 
Back
Top Bottom