Hatupigwi kwenye madini ni porojo za mwendazake ili afanye mikataba upya apate chochoteKaka ninachokueleza ni kuwa unapoona kwenye madini tunavyopigwa ndivyo hivyo kwenye maeneo mengine pia.shida ya Nchi za kiafrika sio upatikanaji wa fedha bali ni uongozi hovyo,uzalendo na Elimu.
Nimekupa rejea kuwa yaliyokuwa mashirika ya umma mengi yalibinafsishwa kwa private companies ambazo wamiliki wake walikuwa sio watanzania na mengi yamekufa-katika hilo unadhani shida IPO wapi.