Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Kwa hiyo ndio auze bandari yetu?

Safari yake kisiasa itamalizika vibaya sana!

Watu wana donge nae ila tu hajijui!
 
Maza hayuko serious.
 
Halafu kwanini za Zanzibar zimeachwa?!! Hiki kitu mimi kinaniuma sana
Ulizeni maswali ya maana nyie maandazi, Zanzibar ni kisiwa kidogo kinachozidiwa na wilaya moja ya misungwi bandari iliyonayo inajitosheleza mahitaji. Bandari za bara ni zinategemewa na nchi takribani 18 ambazo ni locked land so ni lazima zipanuliwe na zisimamiwe na watu wanaojitambua sio majizi yanayowaza matumbo Yao badala ya ufanisi.
 
Bandari ya kule Ziwa Tanganyika inategemewa na watu wangapi, na ya Zenji watu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…