Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Hatupigwi kwenye madini ni porojo za mwendazake ili afanye mikataba upya apate chochote
 
Kasema kwel serikali haiezi Fanya biashara,,mfano mzuri tunao kwa masharika kama Tanesco na dawasco [emoji53]
 
Tunataka maendeleo jamani, sasa mmbakiziwe bandari la kishamba ambalo linaingiza t9 kwa mwaka wakati ikiboreshwa tunapata zaidi ya hapo nyie mavichwa yenu yamejaa mawazo mgando
 
Toka mtaani wakuone,siyo kujificha nyuma ya keyboard [emoji3491].

Watanganyika tushazoea kudanganywa na wanasiasa kila kitu ni kupinga tuh.ukiangalia hio bandari ikikamilika faida tunapata tena kubwaa mnoo afu mtu atake tuandamane [emoji53]huyo mbowe enyewe haezi wekeza sehem bila kupata faida [emoji23]na sio mbowe tuh hakuna mtu yeyote anaeza wekeza sehem bila kutegemea faida abadani
 
Kwenye madini ni tofauti coz mpaka mgodi unaanza kazi mtaji wote ni investors tungekuwa tunashea mtaji tungekuwa tunagawana pasu Kwa pasu, ikija upande wa kubifnasisha mashirika ya umma Serikali ya Mkapa iliwapa wrong investors ndomana yalikufa, bandari inapewa kampuni ambayo ni expert na kazi zake zinaonekana so ni kitu ambacho kinaenda kutoa matokeo chanya.
 
Akili yako kama ya Samia, unadhani muhimu ni kutoa kila kitu kwa sekta binafsi bila hata kuangalia mkataba unaoingia nao unasema nini!.
we mbwaaa tu na itabunafsishwa ingia barabarani uvunjwe nyonga
 
Mtu amabe alie feli 4m 4 eti leo hiii anaongoza TANZANIA [emoji1241] DU INATISHA SANA MIKATABA HATA KUISOMA HAJUI NA HAWEZI ACHA ATUPIGE Maaana ma Prof nao ni mapigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…