Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Serikali haikujenga wamejenga world bank wakawakabidhi na world bank walikua watashindwa kuendesha kwani hata wakati wa kukagua walikuwa hawatembei kwa miguu barabara yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho na watu weusi waliokuwa wahandisi walitoka kenya alipokuja mwandazake akamfukuza yule mama Mlambo ambae alijitajidi sana kufanya huo mradi wakifikiri ukijenga jengo huhitaji akili kuendesha ni matumbo tu
 
Anasahau hao Dubai ni serikali ndio inafanya biashara
 
Wajinga hawaoni hili yao kazi yao ni kuona tumeonewa cjui watz tuna akili gani
 
Vijana pambaneni kuhakikisha mnatumia Fursa za awamu hii. Awamu ya wajamaa itarudi na serikali haina uwezo wa kuajiri vijana wote.
Huwa mnachanganya, mnasema sababu ya kutafuta private waendeshe sekta mbalimbali ni sababu watanzania tumeshindwa, ni wavivu wezi wala rushwa, sasa hizo ajira wataajiriwa wapi ikiwa ni wezi na wavivu?
 
Hizi sababu nani amekupa? Anyways hata usiniambie, mkuu wewe fanya lile unaloona ni sawa. Hayo yalikuwa maoni tu.
 
Mie nataka nienge mkono nnachotaka ni pesa tu bassi na watuambie kabla walikuwa wanapata ngapi na sasa wakiboresha watatoa ngapi hapo tutaelewana nina taka tukomeshe wezi na wadokozi wa mali za uma
Hilo ndo la msingi
 
huyo mbowe anataka watu waandamane wakati wanae wapo marekani kwenye maisha mazuri. alete wanae wakae mbele ya maandamano
 
Hizi sababu nani amekupa? Anyways hata usiniambie, mkuu wewe fanya lile unaloona ni sawa. Hayo yalikuwa maoni tu.
Ndio sababu zinatolewa na serikali kuwa kuoikua hakuna ufanisi, hivyo wanaongeza ufanisi. Ufanisi ulikua hakuna sababu Kama hizo za uzembe, rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…