Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Bogus!Hawa CCM sijui Nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, Nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, Nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi Rais wa 2010 akiwa hai.
Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajua Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujua mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.
Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.
Lakini ukija kwa wanaokataa sijui tuseme ni hofu au kitu gani sijuI au ndio hizo fikira za Nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.
Nadhani kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo
Makanisa huwa yana idadi ya waamini wao hivyo ukitaka idadi ya Wakristo ni very easy Tanzania.
Mfano wakatoliki walioko jimbo la Mwanza ni laki tano (watoto, wazee, wanawake na vijana) nyie huwa mnajua mko wangapi?