Kwa nini Wakristo ndio huwa wanapinga kwa nguvu zote hili suala? Wanaogopa nini? Nini kilichojificha hawataki kijulik
Kwa nini Wakristo ndio huwa wanapinga kwa nguvu zote hili suala? Wanaogopa nini? Nini kilichojificha hawataki kijulikane?
Naweza kujibu kwa uelewa watu mdogo, kwamba Tanzania sio nchi ya kidini japo watanzania wana dini zao wenyewe tena kwa kuchagua kwao kwa hiari yao wenyewe bila kushurutishwa. Kwa maana hiyo basi naona ni wazi kwamba serikali kama nchi yaani Tanzania haina na wala haiwezi kupima au kusema neno lolote kwa mwananchi yeyote mwenye dini yake (labda avunje sheria za nchi kupitia dini yake atakiona kilichomtoa kanga manyoya). Ni wazi Nyerere alicheza kama pele kwenye hili kwamba tanzania inatambua kua watanzania wana imani kwenye dini zao ila Tanzania haimpangii mtanzania kuabudu katika iman ipi. NAONA KIPENGELE CHA DINI NI OVER, HAKIIHUSU SERIKALI NA NDO MAANA SERIKALI IMEKATAA NA SIO WAKRISTO WAMEKATAA, SERIKALI YA KIKWETE (MWISLAAM) 2012 HAKUKUBALI KIPENGELE CHA Dini, HATA SASA SERIKALI YA SAMIA (HUYU MAMA NI MUISLAAM KABISA) NAYE KAKATAAA. HIVYO NDUGU WAISLAAM HII AGENDA HAIPINGWI NA WAKRISTO, MUMNYOKEE SAMIA ASEME NENO KAMA HAMUWEZI BASI MSIWAONEE WAKRISTO KUWENI NA BUSARA.