Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Kama waislamu mnataka kujua idadi
Si muorganize bakwata mpite nchi nzima kurekodi idadi yenu
 
No, no, no
Tunataka kuhesabiwa kwa dini zetu, tujuane tu, hii itasaidia katika mgawanyo wa mambo mengi tu,
Wakati ni sasa,
Unyonge na uonevu uishe
Sasa c mjihesabu huko madrasa nakwenye vijiwe vyakahawa
 
Sasa huku kwingine kwenye sensa kwani haitumiki taaluma?
Ishu kama Dini ni muhimu kweny utamaduni wa jamii flani, na utamaduni una athari kwenye maendeleo ya hiyo jamii au hujui?
Kwani umewahi kusikia chuo cha sensa popote? Hili ni jambo la kukubaliana tu
 
kuandikisha dini ni bora kujua tanzania tuna waumiani fulani wapo milioni kadha na waumini fulani wapo milioni kadha hii itasaidia kujua nchi nani wapo wengi kuliko wengine. maana ukigoogle kuuliza tanzania kuna dini ipi ni wengi utona dini ya nyerere ndio inaongoza hiyo sensa wameipata wapi
 
Ma hotuba ya Samia hayako attention grabbing

MAGU alikuwa akipanda jukwaani kesho yake na wiki nzima vijiweni mnaulizana, e bana ulimsikia mchizi?

hotuba zake hazina mvuto kabisa utafikiri hadija kopa anaongea mimi huwa nazima tv. hotuba ya jpm si mchezo sawa na hotuba ya nyerere sina msisimko na mazingatiob
 
Kwani hujisikia serikali imewatambua machifu na itaanza kuwasaidia kufufua maeneo yao ya kimila?
Two Wrongs don't make it Right..., unless otherwise utasaidia kwenye utalii kwa kuweka kumbukumbu ya asili zetu
 
Ila jiulize kwanini nyie ndio munapinga? Munataka kuficha nini?
Sie idadi yetu tunaijua ninyie tu mnaosubiri serikal iwafanyie.... Mkitoka hapo muiombe serikali ihesabu niwamatumbi wangap waislam
 
Wazungu weusi wamekazana kweri kweri kupinga,
Hawa jamaa wanatupiga sana kwenye hili swala, inabidi tupambane tujue tu ukweli

Kuna habari za chini chini kwamba hawa jamaa ni asilimia saba tu, Ila kwa kutumia hila na udanganyifu wamedhibiti nafasi nyeti tu ndio wakatuaminisha vingine kwa kweli safari hii mpaka kieleweke
 
Sie idadi yetu tunaijua ninyie tu mnaosubiri serikal iwafanyie.... Mkitoka hapo muiombe serikali ihesabu niwamatumbi wangap waislam
Okeee, ndio maana munapinga kwa kuwa mushajijua mupo wachache sanaaa, nasikia ni 7% tu
Kama ni kweli basi muna haki ya kupinga, vinginevyo tuthibitishe tu
 
Okeee, ndio maana munapinga kwa kuwa mushajijua mupo wachache sanaaa, nasikia ni 7% tu
Kama ni kweli basi muna haki ya kupinga, vinginevyo tuthibitishe tu
Hata hio % tunaweza tusifike tuko wachache mno sio rahis kua kwenye kundi letu wengi wanashindwa, hongera kwakua wengi sasa inakuaje hamjiamin nahamuishi kulalamika
 
Hata hio % tunaweza tusifike tuko wachache mno sio rahis kua kwenye kundi letu wengi wanashindwa, hongera kwakua wengi sasa inakuaje hamjiamin nahamuishi kulalamika
Tatizo nyie ndio chanzo cha mateso yetu,
Kufelisha watoto wetu shule,
Kupeana kazi ki idini,
Kufisidi mali ya umma,
Na mengi yapo Ila tuyaache yasidishe uchungu na maumivu
 
Back
Top Bottom